Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichapo cha whaaaat!!!😂😂😂😂hongera kwa Gor mahia...huku kwetu tunachezea kichapo cha mbwa koko daily... viongozi wetu wa soka makada wa chama tawala...wapo busy kuunga mkono serikali huku wakiacha soka likididimia..very naive.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unawatukana eti simba na ni paka?Hehehe safi sana, Simba FC waje Kenya wapate darasa.
Alafu namba tatu kwa table ikachapa mtu tano mtungi.Yeap game ilikuwa kasa!!! Hapan tambua waarabu .... current Egyptian league leaders
View attachment 1012374
Wameutumia vizuri uwanja wa nyumbani, ila kosa kubwa sana wamefanya kuwaruhusu Zamalek kuweka goal 2 za away.
Kama umefatilia vizuri timu za kiarabu zikiwa away huwa azipo sana makini tofauti na kwao ukifuatilia hata ile mechi ya shilikisho licha ya yanga kupita ktk kipindi cha mpito waarabu waliwafunga yanga 4-0 kwao lakin yanga alikuja kuwafunga 3-0 katika uwanja wa taifa pia naamin simba haitowez kufungwa ikiwa nyumbani na pia naamin itatinga hatua ya robo fainali so ushindi wa nyumbani umekuw ni jambo LA kawaida kwa timu nyingi hasa katika hatua ya makundiHehehe safi sana, Simba FC waje Kenya wapate darasa.