Eheee makubwa!!!!Salama Jabiri anaolewa!

Eheee makubwa!!!!Salama Jabiri anaolewa!

Ni kweli anaolewa mwezi ujao na siku ya posa ilishapita zamani,
Anaolewa na mwanaume wa kenya mombasa, nakutakia majukumu mema kwa ndoa yako.
Magume gume yamebaki mtaani khaaa!!!!!

Jina lake Hussein Khamiss

Kay1.jpg
huyu jamaa kidevu mbona kimepinda au ndo swagga!!!!!!!
 
Jamaa atachezewa tope na six pack zake
 
Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    8.9 KB · Views: 42
Salama ni mwanamke kama wanawake wengine usela wake haumkatazi kuwa mwanamke na tukumbuke mapenzi hayana usela so naamini atakuwa mke mwema hongera mpenzi nakutakia ndoa njema
 
Wema, Snura, Agness Masogange na Machura yao mpka leo hawajaolewa.. lakini Salama katolewa posa tayar, hapa ndo research na project za kuhusu wanawake zinapokuwa ngumu zaiid, kumbe WOWOWO sio ishu sana hapa town.
 
Snura eti mchaga daah
 
Manina, that's why I am so pleased to be a man cuz' we know what we want!!!

Wengine mtaishia kubabua miili kwa ma-cream huku mingozi yenu mkiishindilia kwa madubwasha haya na yale bila kusahau vurugu za kichwani lakini wanakuja kupata ndoa wasio na time kabisa na hayo madubwana!!
 
Lazma mkenya wa mombasa mlango wa papa au kilifi/bondeni sitaki kijua why awe mtu wa kutokea huko[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom