[emoji3]Alishawahi kuolewa na mtoto anaye.....huku kwetu ukidivorse unaitwa mjane!
huyu jamaa kidevu mbona kimepinda au ndo swagga!!!!!!!Ni kweli anaolewa mwezi ujao na siku ya posa ilishapita zamani,
Anaolewa na mwanaume wa kenya mombasa, nakutakia majukumu mema kwa ndoa yako.
Magume gume yamebaki mtaani khaaa!!!!!
Jina lake Hussein Khamiss
We ndio ulikuwa nae b4....Marinda bado yapo?Ayaaaaaaaa dah, sasa mimi itakuwaje....
Snura eti mchaga daahWema, Snura, Agness Masogange na Machura yao mpka leo hawajaolewa.. lakini Salama katolewa posa tayar, hapa ndo research na project za kuhusu wanawake zinapokuwa ngumu zaiid, kumbe WOWOWO sio ishu sana hapa town.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji16] [emoji16]Kama Mombasa sishangai..wanajua wanachoenda kufanya
Hamna cha kushangaza.
Kila jambo na wakati,siku imefika ndo hiyo,ulitaka afanye kama ulivyofanya ww kwa kuradhimisha.siku zote alikuwapo wapi
Ndo wakati wake ss ,ulitaka aolewe akiwa mtoto!!ww lbd ulianza kutaka kuwa hivyo ukiwa mtoto,haya mambi MUNGU ndo mwamuzi.Hongera kwake ila kaolewa umri mkubwa,
Mbona simba pamoja na ubabe wake lkn kwenye tendo hilo hutega mwenyewe naye atalala tu kwann isiwezekane.Siamini yule Dada anavyo jifanya msela, ataweza kulala na kanga moko kweli
Kanga moja ya nini...sema kulala uchi!!!!Siamini yule Dada anavyo jifanya msela, ataweza kulala na kanga moko kweli