Achomeke kijiko huko DODOMA? Daah sasa kijiko na msumari wa nyama kipi bora?Namimi hiyo ndo hofu yangu...inabid jamaa aweke vijiko makalioni...ili salama atakapotaka kumgeuza..vijiko vinagongana AF anastuka
Akipigwa mkundenge sawasawa hakunaga usela atalegea tu na mzigo wa shanga atavaliwa!Siamini yule Dada anavyo jifanya msela, ataweza kulala na kanga moko kweli
Siamini yule Dada anavyo jifanya msela, ataweza kulala na kanga moko kweli
Povu.....Nitokeee hapa www who are you to judge me?? Mmeshakariri kila mwanamke ana roho mbaya. Sio wote kaka. Kwanza hyo sentensi ya mwisho imekaaa ki choko
Duh wanaume wa Dar wameshindwa kumtongoza Salama mpaka kidume kimetoka Mombasa
Hahahaha! Sijui kama anaweza hata kufariji na maneno mazuri,maana usela mwingi.Ww tu na maono yako
Kaacha ile tabia yake?Ni kweli anaolewa mwezi ujao na siku ya posa ilishapita zamani,
Anaolewa na mwanaume wa kenya mombasa, nakutakia majukumu mema kwa ndoa yako.
Magume gume yamebaki mtaani khaaa!!!!!
Jina lake Hussein Khamiss
Kwani salama alikuwa kaoa?Wale wake zake sasa watafanya nini?