Salama ajawahi kusema kama hataki kuolewa, yawezakana alikua hajapata mchumba.
Lakini leo kapata mchumba tumpe saport aolewe,sioni tatizo la yeye kuolewa.
La sivo mtabaki kuumia na kusema mambo ambayo yeye ajawahi kufikiria hata siku moja.
Salama mimi nakutakia maisha mazuri kwenye ndoa yenu,mungu awatangulie.
Ikiwezekana unipe kadi niweze kuudhuria kwenye arusi yenu nishuhudie uzuri wako kwa mumeo siku hiyo.