Kwamba geography ya sekondari imeeleza duniani tunatumia majira sawa?Kama
Kama una elimu ya sekondari kasome jiographia kidato cha kwanza na pili, hapo utaelewa kila kitu wameeleza vizuri sana kuhusiana na mzunguko wa dunia , mwezi na utofauti wa kimasaa
Mbona umeenda china mbali?!
Dar es salaam na Kigoma wanafungua nyakati tafauti!.
Wakati watu wa Dar, Tanga na Zanzibar wanafuturu Kagera na Kigoma bado jua linawaka je Kigoma na Dar miezi pia ni tafauti?!
Yawezekana hata hii Tanzania huijui.
Kama una ndugu , jamaa au rafiki huko Kigoma ukisikia adhana ya Magharibi ukiwa Dar mpigie simu muulize vipi huko Kigoma au Kagera jua limeishazama.
Huu ni utafiti ambao nimefanya mwenyewe .
Nikiwa wilayani Ngara mkoani Kagera kama saa 12 na nusu hivi jua bado linawaka nikampigia simu mke wangu ambaye alikuwa Tanga akaniambia wao wanamalizia futari na magharibi wameishaswali muda mrefu.
Wewe Beira si ulishamaliza Kwaresman na pasaka sasa sikukuu ya bakwata inakuhusu nini au unadhani hatujui kuwa wewe ni mvaa misalaba?!Bakwata wametoa taarifa kuwa wanaswali tarehe 7 wewe unatwambia tarehe 5 aacha uongo wako bhana
Mimi sio kaka,Kaka usipaniki kasome uelewe mzunguko wa mwezi kuizunguka dunia ukoje , tunaposema mfano afrika ya mashariki wanachukulia majira kwenye nyuzi 45,! je saudia wanachukulia nyuzi ngap? Je pasingekuwepo na tekinoljia kama simu, radio, TV na vyombo vingine vya kupashana habar mwezi ukiandama Zanzibar muumini wa kigoma angepataje habari kama kigoma hajaonekana ! Kwann ukiambiwa umeandama saudia kupitia hizi media unakataa !
Kabla hujaanza kulaumu hao, MashekhTunachotakiwa tutambue ni kwamba 1. Kuna mwezi mmoja tu unayoizunguka dunia Na dunia inalizunguka jua 2. Mwezi unaweza kuonekana sehemu Fulani na sehemu nyingine usionekana kwasababu mbalimbali kama vile mawingu 3.Dhana ya kuseme huu ni mwezi wa kitaifa ni dhana potofu, hakuna mwezi ambao unaizunguka Tanzania tu 3.masheikh wetu wanatukaririsha dini hawatufundishi tuelewe dini ndio maana inapokuja application ya suala dogo tu tunafeli
Ndugu yangu Kuna vita ya kidini tena humu ndanWewe Beira si ulishamaliza Kwaresman na pasaka sasa sikukuu ya bakwata inakuhusu nini au unadhani hatujui kuwa wewe ni mvaa misalaba?!
Nje ya mada, Allah hutumia lugha gani?? Yaani huwa anatumia lugha gani ya masiliano kwa waja wake.Mimi ninavyojua Allaah aliumba jua Moja na mwezi mmoja.
Kwani wewe sio mvaa misalaba?!Ndugu yangu Kuna vita ya kidini tena humu ndan
Kwanini usiende kupigana Palestine huko kaka
Lugha zote za duniani anatumiaNje ya mada, Allah hutumia lugha gani?? Yaani huwa anatumia lugha gani ya masiliano kwa waja wake.
Unao ushahidi wowote???Lugha zote za duniani anatumia
Kama upiUnao ushahidi wowote???
Allah anaongea Kiswahili, Kiingereza, Kijerumani, Kirusi, Kichina n.k.Kama upi
Allaah huwasiliana na waja wake kwa kutumia lugha ambayo hao waja wanaielewa.Kwa mfano alipowasiliana na nabii Musa na pia Nabii Isa alitumia lugha ya kiebrania kwa sababu mitume hao walikuwa waebrania. Alipowasiliana na nabii Muhammad alitumia lugha ya kiarabu kwakuwa Nabii Muhammad صلى الله عليه وسلم alikuwa mwarabu.Nje ya mada, Allah hutumia lugha gani?? Yaani huwa anatumia lugha gani ya masiliano kwa waja wake.
Kazi kweli kweliKwani wewe sio mvaa misalaba?!
Wewe hujaleta uzi wa kushabikia funga ya kwaresma humu jukwaani?!
Mwisho nikuelimishe tu kwamba vita ya palestiina na Wazayuni ni vita ya kisiasa kama ilivyokuwa vita ya Urusi na Ukraine na sio vita vya kidini.
Kwahiyo ikiwa waislamu wakiswali Eid Alkhamisi, au Ijumaa, au Jumamosi au jumapili ni kulingana na misingi ya dini yao ambayo wewe mvaa misalaba huwezi kuijua!
Mpaka sasa unakubali Allah hana lugha moja??Allaah huwasiliana na waja wake kwa kutumia lugha ambayo hao waja wanaielewa.
Hoja yako ni nini?! Maana naona unazunguka tuuuu! badala ya kwenda kwenye hoja Moja kwa moja!Mpaka sasa unakubali Allah hana lugha moja??
Huoni wewe ndiyo unauleta huo mzunguko kwa kutojibu swali??Maana naona unazunguka tuuuu!