Sekunde chache
Senior Member
- Mar 3, 2025
- 104
- 73
Nimesema nenda kwenye hoja yako!Huoni wewe ndiyo unauleta huo mzunguko kwa kutojibu swali??
Wewe una jambo unataka kueleza ila unazunguka kwa kuuliza maswali!
Na hiyo ni ishara kwamba hujiamini kwenye hoja unayotaka kuileta ndio maana unajizungusha kwa kuuliza maswali ili update pa kuanzia.
Sasa kwa watu waliosoma na wanaojiamini kwa elimu zao huwa hawapendi njia hizo za ubishi wa Yanga na Simba.