Eid Al Adh haa ( Eid An Nahri pia Eid Al hajj )1446 Hijriyyah / 2025 Miylaadiyyah

Huoni wewe ndiyo unauleta huo mzunguko kwa kutojibu swali??
Nimesema nenda kwenye hoja yako!
Wewe una jambo unataka kueleza ila unazunguka kwa kuuliza maswali!
Na hiyo ni ishara kwamba hujiamini kwenye hoja unayotaka kuileta ndio maana unajizungusha kwa kuuliza maswali ili update pa kuanzia.
Sasa kwa watu waliosoma na wanaojiamini kwa elimu zao huwa hawapendi njia hizo za ubishi wa Yanga na Simba.
 
Mimi au wewe?? Coz nimeuliza swali rahisi la ndiyo au hapana naona mzunguko umekuwa mkubwa.
Ninachojua ni kwamba ukijibiwa utauliza swali jingine! Na ukijibiwa utaendelea kuuliza maswali mengine!
Sasa labda nikutake uorodheshe maswali yako yote hata kama ni mia moja ili niyajibu yote kwa pamoja!
Hiyo ina faida zaidi kuliko kuuliza swali mojamoja!
Kama maswali huna lete hoja unataka kueleza kitu gani?!
 
U
Sasa wewe jamaa umeulizwa ukasema watu wakasome geographia ya sekondaeri juu ya mzunguko wa mwezi.
Ukaulizwa je katika hiyo geography imesema tunatumia majira sawa dunia?
Unakuja kusema unachotakiwa kutambua mwezi ni mmoja.
Kwani jua si moja pia kwanini kuna tofauti ha majira ya saa na siku na wakati Mungu kaumba jua moja?
Sasa tukiuliza maswali magumu juu ya MANAZIL YA MWEZI si ndo utakimbia uzi wako.
Ukaulizwa kwanini kama mwezi ni mmoja kwanini Saudi arabia mwezi ukionekana China au India hawaufati?
 

we jamaa unasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…