Eid Al Adha Mubarak kutoka kwa Waziri Mkuu Nchemba

Eid Al Adha Mubarak kutoka kwa Waziri Mkuu Nchemba

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
EID AL ADHA MUBARAK

Ninaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuwatakia Waislam na Watanzania wote sikukuu njema ya Eid.

Tusherehekee sikukuu hii kwa utulivu huku tukidumisha upendo, mshikamano na amani kwa maslahi ya Taifa letu.

Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 

Attachments

  • IMG-20260527-WA0011.jpg
    IMG-20260527-WA0011.jpg
    451.3 KB · Views: 18
Back
Top Bottom