Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Eid Mubarak kwa wote. Hapa Tz natumaini itakuwa jumatano.
inategemea wanafuata nani
Kama Bakwata wakisema basi ujue serikali itafuata tuu
lakini najua watzanaia wengi wasilam wataswali iddi yao tofauti na ya BAKWATA