Ojuolegbha JF-Expert Member Joined Sep 6, 2020 Posts 1,773 Reaction score 1,174 Mar 31, 2025 #1 EID MUBARAK Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawatakia Waislamu wote Sikukuu njema ya Eid El Fitr
EID MUBARAK Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawatakia Waislamu wote Sikukuu njema ya Eid El Fitr
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,625 Reaction score 89,385 Mar 31, 2025 #2 Serikali ingekuwa inatu mixx by yas wananchi wake hata ka ten ten kila mmoja!..😂
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 Mar 31, 2025 #3 Kwani ni muhimu sana hizo salaam ?
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 21,490 Reaction score 38,302 Mar 31, 2025 #4 Ndugu Mlipakodi, unakumbushwa kutoa risiti zote za EFD kwa mauzo ya Machi 2025 pamoja na fedha za awali(Deposits) zilizopokelewa kwa ajili ya huduma za baadae. Salam walizonitumia TRA Idd yote naiona chungu.
Ndugu Mlipakodi, unakumbushwa kutoa risiti zote za EFD kwa mauzo ya Machi 2025 pamoja na fedha za awali(Deposits) zilizopokelewa kwa ajili ya huduma za baadae. Salam walizonitumia TRA Idd yote naiona chungu.
Kizibo JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 4,617 Reaction score 10,524 Mar 31, 2025 #5 Leo tra wanafanya kazi?