Eid Mubarak nikiwa angani na Emirates A380 (JFK-DXB-DAR)

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
7,681
Reaction score
9,575
1. Eid Mubarak toka Angani ndani ya Emirates A380 full internet.

2. Ndugu zangu nikiri mm ni mtoto wa Mkulima na bila baraka basi hii mipipa tungekua tunahadithiwa na watoto wa kishua. Lakini kama mnavyojua imebaki historia . Nakwea pipa hadi inakera.
 
Attachments

  • ramo_akh_168493972.mp4
    7.6 MB
  • fa6oom.rak_170161616.mp4
    5.1 MB
Kwa hyo ukipanda Hilo pipa inakuwaje?wewe jinsi ilivyo unadalili ya kulima kilimo gani mkuu?pamoja na kupanda Hilo pipa fahamu kuwa bado unabbakia kuwa binadamu kama binadamu wengine ,na siyo kuwa unaakili zaidi ya watu ila ni Mungu amekuneemesha tuu,kwa hiyo usiongee sana
 
Izo Emirates Internet ni Unalipia Mkuu, Pia bado zao zipo limited sana
Mfano DXB apo Airport wifi ni free maeneo yote ila hai Access WhatsApp Call wame limit sana
 
Mkuu inapaswa kumshukuru Mama Samiyya Kwa sababu yeye ameifungua nchi
 
Kwa hyo ukipanda Hilo pipa inakuwaje?wewe jinsi ilivyo unadalili ya kulima kilimo gani mkuu?pamoja na kupanda Hilo pipa fahamu kuwa bado unabbakia kuwa binadamu kama binadamu wengine ,na siyo kuwa unaakili zaidi ya watu ila ni Mungu amekuneemesha tuu,kwa hiyo usiongee sana
Pole sana mkuu
 
1. Eid Mubarak toka Angani ndani ya Emirates A380 full internet.

2. Ndugu zangu nikiri mm ni mtoto wa Mkulima na bila baraka basi hii mipipa tungekua tunahadithiwa na watoto wa kishua. Lakini kama mnavyojua imebaki historia . Nakwea pipa hadi inakera.

Halafu unabaki na dola ngapi baada ya kutua Dar? Au wewe unachangia sh.ngapi kwenye hiyo nauli.kama unalipiwa nauli wewe huna jipya unafanana na percel tu. kukwea mipipa hata wale waleo kuwa deported wahamiahi haramu wamekwea. kuna mmoja amekwea piapa kwenda hija, amenitumia clip yuko madina ana fanya hija huko ila hapa kwetu tunamdai rejesho hajamaliza.
 
1. Eid Mubarak toka Angani ndani ya Emirates A380 full internet.

2. Ndugu zangu nikiri mm ni mtoto wa Mkulima na bila baraka basi hii mipipa tungekua tunahadithiwa na watoto wa kishua. Lakini kama mnavyojua imebaki historia . Nakwea pipa hadi inakera.
Ramadhan Makbool
 
Back
Top Bottom