Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Safari njema karibu Nyumbani1. Eid Mubarak toka Angani ndani ya Emirates A380 full internet.
2. Ndugu zangu nikiri mm ni mtoto wa Mkulima na bila baraka basi hii mipipa tungekua tunahadithiwa na watoto wa Joshua. Lakini kama mnavyojua imebaki historian . Nakwea pipa hadi inakera.
Punguza makasiriko dada
Pole sana mkuuKwa hyo ukipanda Hilo pipa inakuwaje?wewe jinsi ilivyo unadalili ya kulima kilimo gani mkuu?pamoja na kupanda Hilo pipa fahamu kuwa bado unabbakia kuwa binadamu kama binadamu wengine ,na siyo kuwa unaakili zaidi ya watu ila ni Mungu amekuneemesha tuu,kwa hiyo usiongee sana
1. Eid Mubarak toka Angani ndani ya Emirates A380 full internet.
2. Ndugu zangu nikiri mm ni mtoto wa Mkulima na bila baraka basi hii mipipa tungekua tunahadithiwa na watoto wa kishua. Lakini kama mnavyojua imebaki historia . Nakwea pipa hadi inakera.
Whatsapp call ni Dubai nzima mpaka utumie VPNIzo Emirates Internet ni Unalipia Mkuu, Pia bado zao zipo limited sana
Mfano DXB apo Airport wifi ni free maeneo yote ila hai Access WhatsApp Call wame limit sana
Ramadhan Makbool1. Eid Mubarak toka Angani ndani ya Emirates A380 full internet.
2. Ndugu zangu nikiri mm ni mtoto wa Mkulima na bila baraka basi hii mipipa tungekua tunahadithiwa na watoto wa kishua. Lakini kama mnavyojua imebaki historia . Nakwea pipa hadi inakera.