Lofawamali
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 304
- 146
Karibuni jamani Eid ila nimejaribu kupita pita madukani nimegundua mchele ni ule ule wa Plastiki.Ila Kama upo tayari kutengeneza mabeseni chooni natoa mualiko kwa Kila mtu Wasalaam Eid Mubarak[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]