Eid ya mwaka huu mwezi tutaangalia kwa kutumia VAR tumechoka kufungishwa siku ya Eid

Idi inatangazwa mwezi uko juu ni mkubwa, hii ni kituko. Hesabu za mwezi ziko wazi hata ukiuangalia mwenendo wake kuanzia alfajiri kabla jua halijachomoza ni rahisi kubaini mwandamo wake bila kusubiri mpaka uonekane saudi arabia
 
This time wataachia maana inadondokea juma tano so mufti atambiwa tangaza ili ijumaa watu waende makazini maana asipotangaza juma nne ina maana atatangaza juma tano maana yake nini long week end kudadeki sikuu kuu itakuwa alhamis, ijumaa, tunazimua juma mosi na juma pili sasa hii hawawezi hawawezi kubali wewe jiandae juma nne mufti anatangaza
 
Mpaka mufti atangaze ndio iwe idi ! Asipotangaza kwa wakati muafaka atangaza mwezi upo juu una siku moja. Kwa hiyo mwenye mamlaka ya kutangaza idi ni binadamu, hata kama atachelewa kutangaza
 
Kile kifaa cha kutazamia muandamo wa mwezi bado hawajapewa? Ni telescope au nini?
 
Habari ziwafikie BAKWATA mwaka huu ngoma lazima itazamwe kwa VAT kama umeandama au la! Haiwezekeni kila mwaka tunafungishwa siku za eid hili lifike mwisho.

View attachment 2956654
Miaka 1300 tangu tuanze ibada bado tunalazimisha macho yaone wakati kwingine kote tunatumia innovations
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ