We nawe, unapotosha mada sasa..
Kwani hujui upendo wa siku hizi ni wa kumegana tu...
Huo unaoudhania ulishazikwa kitamboooooo............... Kalagabaho
WAbada HASI.......!!!!
Tatizo unatabili matokeo wakati mechi haikaanza unaweza kukosea, subili mwenyewe atarudi tu kusema ni upendo upi alio nao kwa eiyer.We nawe, unapotosha mada sasa..
Kwani hujui upendo wa siku hizi ni wa kumegana tu...
Huo unaoudhania ulishazikwa kitamboooooo............... Kalagabaho
WAbada HASI.......!!!!
hakuna kwenda pm!
muafaka tuujulie hapa hapa!!
Mkuu amunifurahisha sana! maana hawakawii hawa na pm zao!!!
sana tuu..jamaa kalala mlango wazi, usiku kaingia swala...kesho yake jirani kamuiga nae kalala mlango wazi, usiku kaingia SIMBA!Bahati gani hii..!
I wish ingenidondokea miye, lakini ndio hivo tena bahati ya mwnzio usiilalie mlango wazi......
yaani jukwaani hizi siku mbili kunapendezaje yaani. kweri huku ndio pumziko la stress
Housewife hiyo like uliyonipa huogopi na mimi ntaanza kuzama kwako kama shenazi. sababu moja wapo iliyomfanya amzimikie Eiya ni like kwenye post yake.