Eiyer, Naomba nikabidhi Moyo wako.

mhhh Eiyer kubali tu utulie.......bahati hii......usijidai huelewi hapa!
 
Last edited by a moderator:
Hebu fanya fasta maana akichelewa tu atakuta nishamaliza kila kitu....lol!

hahahaaa...... Hofu yangu tu msije mkapanda mazabahuni mkaweka najisi katika hekalu la bwana.... Ngoja nifanye fasta aisee
 
hahahaaa...... Hofu yangu tu msije mkapanda mazabahuni mkaweka najisi katika hekalu la bwana.... Ngoja nifanye fasta aisee

Fnya fasta maana mtoto kaja mwenyewe na anahitaji huduma
Si unajua ile ya "toeni bure kwa kuwa mmepewa bure"
Sasa kwanini nimfanyie hiyana mtoto Shenazi

Fanya fasta ukichelewa nakula vitu halafu natulia!!!!!!!!!!!!!!

Na ukizingatia niko single ..........!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mi sinilisemaga nakuzimia wewe?

Au na wewe unajidai huelewi...LOL!!!!!!!!!

heee makubwa! mie nna mumewangu! kwani hulielewi hilo? akuuuu.........usijenikorofisha na shenaz bure! mpe mtoto wa watu raha eeenh!
 

hoooo!
 
mimi huyu Shenazi mbona kama namfahamu?
Eiyer umeshajiandaaa?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…