GOMBE MAHELE
Member
- Mar 26, 2012
- 10
- 0
Fanya mazoezi na pia epuka bia na soda.Zingatia kunywa maji mengi
Mkuu shukrani kwa ushauri, hata hivyo mimi sinywi kabisa bia na pia nimeacha kunywa soda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya mazoezi na pia epuka bia na soda.Zingatia kunywa maji mengi
Dawa ya kulimaliza Tatizo la kuwahi mapema hebu bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anaye-taka.htmlHeshima kwenu wakuu. Najitokeza hapa ili kueleza tatizo langu nikitumaini nitasaidiwa njia za kukabiliana nalo na kulimaliza.
Ni kwamba nilisoma shule za wavulana tangu kidato cha 1-6 na kutokana na presha ya makundi tukawa tunaelezana kwamba kwa kuwa hatukuwa na wasichana basi mtu akijisikia hamu basi apige masturbation. Nami nilipiga sana japo niliacha baadaye.
Tatizo langu sasa ni kwamba nikiwa na partner wangu napiga gemu mara moja na wakati mwingine nachukua muda mfupi sana (hata dk 2 tu) kumaliza na naweza nisipate hamu tena ya kurudia. Jambo hili linanifedhehesha mimi mwenyewe pamoja na partner wangu tuliyepanga kuishi pamoja maisha yetu yote. Tunapendana sana na sipendi na wala yeye hapendi tuachane kwa sababu hii.
Nilienda Regency Hospital kupima afya yangu vipimo vikaonyesha kuwa sina matatizo na kwa nyakati tofauti nikapewa dawa kadhaa kama Sessofoite, Erector, Saheal. Dawa hizo zilisaidia sana kwani nilikuwa nafunga magoli hadi matatu kifaa kikiwa bado kiko imara na kwa kweli partner alikuwa akifurahia.
Baada ya kutumia dawa nilidhani kuwa sasa tatizo liliisha nikaamua kuacha kutumia dawa. Lakini nisipotumia dawa tatizo hujirudia tena na tena.
Naomba msaada wa mawazo, nifanyeje ili tatizo langu liishe kabisa?
Ukiwa kwenye game, weka mawazo kwenye game, ucwaze vi2 vingine.
Jaribu hii,kama unajiona una uzito mkubwa fanya mazoezi ili upunguze huo uzito,kama una kitambi fanya mazoezi upunguze hicho kitambi,kunywa glass za maji zisizopungua kumi kila siku,kama unakunywa pombe kunywa kiasi ila usiache kabisa 2-3 beers a day and not more siyo mbaya,unapokuwa huru on your own(umetulia) fanya masturbation na unapokaribia ku-piss acha/jizuie jaribu hivyo mara 4-6 then release the sperms(hii ifanye once a week kwa almost six months)hili zoezi litakusaidia uwe unachelewa kumaliza.Utanieleza matokeo yake after two weeks.Naomba unijulishe,i had the same problem but now am doing so good in the field.
mtafute dr ndodi fasta atakupa dawa ya tatizo lako
kula ugali wa udaga ushibe vizuri uone balaa lakeHeshima kwenu wakuu. Najitokeza hapa ili kueleza tatizo langu nikitumaini nitasaidiwa njia za kukabiliana nalo na kulimaliza.
Ni kwamba nilisoma shule za wavulana tangu kidato cha 1-
6 na kutokana na presha ya makundi tukawa tunaelezana kwamba kwa kuwa hatukuwa na wasichana basi mtu akijisikia hamu basi apige masturbation. Nami nilipiga sana japo niliacha baadaye.
Tatizo langu sasa ni kwamba nikiwa na partner wangu napiga gemu mara moja na wakati mwingine nachukua muda mfupi sana (hata dk 2 tu) kumaliza na naweza nisipate hamu tena ya kurudia. Jambo hili linanifedhehesha mimi mwenyewe pamoja na partner wangu tuliyepanga kuishi pamoja maisha yetu yote. Tunapendana sana na sipendi na wala yeye hapendi tuachane kwa sababu hii.
Nilienda Regency Hospital kupima afya yangu vipimo vikaonyesha kuwa sina matatizo na kwa nyakati tofauti nikapewa dawa kadhaa kama Sessofoite, Erector, Saheal. Dawa hizo zilisaidia sana kwani nilikuwa nafunga magoli hadi matatu kifaa kikiwa bado kiko imara na kwa kweli partner alikuwa akifurahia.
Baada ya kutumia dawa nilidhani kuwa sasa tatizo liliisha nikaamua kuacha kutumia dawa. Lakini nisipotumia dawa tatizo hujirudia tena na tena.
Naomba msaada wa mawazo, nifanyeje ili tatizo langu liishe kabisa?
kula ugali wa udaga ushibe vizuri uone balaa lake
Nakupongeza kwa kuonyesha wazi kuwa tatizo unalo wewe, tofauti na wengi wetu ambao tungesema ...ndugu/jamaa yangu........Kuhusu hili tatizo, kumbuka kuwa ili kumtosheleza mwenzi wako sio lazima upige magoli sita na kumwaka ukiwa unapepesuka. Kama utajipanga na kutumia fore play vizuri ikisindikizwa na ile ya akina "Agandi Wakolo Waitu" hata goli moja tu ataridhika. Kwanza chukua muda mrefu katika fore play, halafu ukiingia usianze movement moja kwa moja - tulia kidogo ili kupunguza mhemko, mechi ikianza ukisikia unakaribia, pumzika kidogo wakati huo ukikendelea na touching touching, nakuambia ukiweza hiyo utaambia utangaze ndoa ili awe ndani na kujipakulia muda anaotaka kuliko sasa hivi ambapo anakuja week'nd tu na unamchanganya na ile Voda Fasta. Aidha, epuka hayo madawa sio mazuri kwa umri wako huo, utakuwa addicted, yanapaswa kuanza kutumika at 50s.
Mkuu asante kwa taarifa hii. Sasa Dr. Ndodi anapatikana wapi? Je yupo hapa DSM? Unaweza kunipatia mawasiliano ya simu yake nimtwangie? Nitashukuru sana
mkuu kama upo dar huyu jamaa anapatikana hapa hapa dar nenda magomen mwembe chai ukiulizia tu pale wadau watakuonyesha ofisi zake.
Au kama ni mwangaliaji sana wa steshen za tv za kibongo lazima utakutana naye kwenye vipindi hewana au hata kwenye vituo vya redio.
Ushauri wangu humu jamvin 90% ya post zinazungumzia matatizo ya nguvu za kiume mim ningekushauri pekua thread za wadau zilizo pita juu ya nguvu za kiume utapata majibu mengi sana.
Zoezi jengine linalofanana na hilo ni hili: ukienda kukujoa jaribu kukojoa kwa 'mafungu' yaani unakoja kidogo halafu unaubana tena mkojo halafu unauachia tena ...fanya mara kadhaa kila uendapo kukojoa... inachekesha lakini inaweza kukusaidia...!Jaribu hii,kama unajiona una uzito mkubwa fanya mazoezi ili upunguze huo uzito,kama una kitambi fanya mazoezi upunguze hicho kitambi,kunywa glass za maji zisizopungua kumi kila siku,kama unakunywa pombe kunywa kiasi ila usiache kabisa 2-3 beers a day and not more siyo mbaya,unapokuwa huru on your own(umetulia) fanya masturbation na unapokaribia ku-piss acha/jizuie jaribu hivyo mara 4-6 then release the sperms(hii ifanye once a week kwa almost six months)hili zoezi litakusaidia uwe unachelewa kumaliza.Utanieleza matokeo yake after two weeks.Naomba unijulishe,i had the same problem but now am doing so good in the field.
Zoezi jengine linalofanana na hilo ni hili: ukienda kukujoa jaribu kukojoa kwa 'mafungu' yaani unakoja kidogo halafu unaubana tena mkojo halafu unauachia tena ...fanya mara kadhaa kila uendapo kukojoa... inachekesha lakini inaweza kukusaidia...!
Chengine mfanyie mazoezi 'bwana mdogo' ...angalizo : kwenye link hapo chini jaribu zoezi moja tu linaitwa 'Jelqing' utashangaa hiyo staying power ya ajabu utakayopata...kuwa muangalifu maana ukikosea hilo zoezi ni 'kabang' unakuwa siyo riziki...! teh teh teh...!
Jelq and Jelqing - Penis Enlargement Manual
Mara nyingi suala la kupiga bao haraka linakuweko katika akili zetu na sio katika nguvu zetu za mwili. Sababu kubwa inayowafanya watu wapige bao haraka ni mhemkwo (stress), mhemkwo wa hamu ya kutaka ujione fundi, utake kumridhisha mwenzako...Unapokuwa mawazo yako umeyalenga huko, ndio mara kichupa kinafunguka na kumwaga.
Cha kufanya, ili kusisitiza tu yaliyokwishasemwa, wakati ukijihisi bado dakika moja kupiga bao, jizuwie. Ikiwa ulikuwa umezamisha mchi mpka mwisho utoe juu, ondosha mawazo yako kabisa huko. Inawezekana ukaona hata mzee "amevunjika moyo". Ukifikia hatua hiyo anza gemu upya.
Njia nyengine ni ukikaribia kumwaga toa mchi kabisa. Kamata sehemu moja chini ya p.u.m.b.u kuna mshipa unaopeleka damu na shahawa, ubinye huo kidogo kama sekunde 20. Inauma kidogo, lakini utakuwa umezuwia zoezi zima la kutaka kumwaga na unaanza upya.
Pia bila ya kufanya yote hayo, ukiona unataka kumwaga, toa kabisa na anza mchezo wa utomasaji, kuny.eg.es.hana na ikiwa ni mpezi wa kizama chumvini, zamia. Ukimaliza zoezi hilo unaanza gemu na unaweza kulirudia mara unazotaka kabla ya finali.