Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Dogo pole sana. Fata ushauri wa kazaliwa tena.

Jaribu kuingia katika bustani la mahaba. Fana fore play iwe ndefu na pia ujitahidi umalizapo na post play. Sio unafanya papara kitandani. Dem wako atakukimbia kama huwi makini katika majambos.

Jarubu kusoma vitabu vinavyo elimisha juu ya sexual practices. Vitakusaidia. Good luck.
 
mtafute dr ndodi fasta atakupa dawa ya tatizo lako
 
Dawa ya kulimaliza Tatizo la kuwahi mapema hebu bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anaye-taka.html
 
Jaribu hii,kama unajiona una uzito mkubwa fanya mazoezi ili upunguze huo uzito,kama una kitambi fanya mazoezi upunguze hicho kitambi,kunywa glass za maji zisizopungua kumi kila siku,kama unakunywa pombe kunywa kiasi ila usiache kabisa 2-3 beers a day and not more siyo mbaya,unapokuwa huru on your own(umetulia) fanya masturbation na unapokaribia ku-piss acha/jizuie jaribu hivyo mara 4-6 then release the sperms(hii ifanye once a week kwa almost six months)hili zoezi litakusaidia uwe unachelewa kumaliza.Utanieleza matokeo yake after two weeks.Naomba unijulishe,i had the same problem but now am doing so good in the field.
 
Ukiwa kwenye game, weka mawazo kwenye game, ucwaze vi2 vingine.

hii kitu ni kizungumkuti tu. wengine wanadai peleka mawazo yako mbali mfano labda uko mwituni unafukuzwa na simba, au sijui uko porini umebeba gunia la misumari eti ndo utachelewa. hapa we unamwambia a-concentrate hii sasa si full kujichanganya wakuu?
 

Mkuu sasa kurudia tena masturbation si ndiyo nitaharibu zaidi? Hakuna dawa ya kutumia kwa haraka?
Kuna mtu (kwa jina la KULWA) aliwahi kueleza kuwa ana tatizo kama hili wakamshauri atumie CIALIS TADALAFIL kwamba inatibu mapema sana, nimemwandikia email lakini hakunijibu na bahati mbaya hata post yake siioni tena siku hizi
 
kula ugali wa udaga ushibe vizuri uone balaa lake
 
Nakupongeza kwa kuonyesha wazi kuwa tatizo unalo wewe, tofauti na wengi wetu ambao tungesema ...ndugu/jamaa yangu........Kuhusu hili tatizo, kumbuka kuwa ili kumtosheleza mwenzi wako sio lazima upige magoli sita na kumwaka ukiwa unapepesuka. Kama utajipanga na kutumia fore play vizuri ikisindikizwa na ile ya akina "Agandi Wakolo Waitu" hata goli moja tu ataridhika. Kwanza chukua muda mrefu katika fore play, halafu ukiingia usianze movement moja kwa moja - tulia kidogo ili kupunguza mhemko, mechi ikianza ukisikia unakaribia, pumzika kidogo wakati huo ukikendelea na touching touching, nakuambia ukiweza hiyo utaambia utangaze ndoa ili awe ndani na kujipakulia muda anaotaka kuliko sasa hivi ambapo anakuja week'nd tu na unamchanganya na ile Voda Fasta. Aidha, epuka hayo madawa sio mazuri kwa umri wako huo, utakuwa addicted, yanapaswa kuanza kutumika at 50s.
 

Shukrani mkuu, nitafata ushauri wako. Hata hivyo tatizo linaloambatana na la kuwahi ni lile la kutosimamisha tena au kusimamisha kwa shida baada ya awamu ya kwanza.
 
Mkuu asante kwa taarifa hii. Sasa Dr. Ndodi anapatikana wapi? Je yupo hapa DSM? Unaweza kunipatia mawasiliano ya simu yake nimtwangie? Nitashukuru sana

mkuu kama upo dar huyu jamaa anapatikana hapa hapa dar nenda magomen mwembe chai ukiulizia tu pale wadau watakuonyesha ofisi zake.
Au kama ni mwangaliaji sana wa steshen za tv za kibongo lazima utakutana naye kwenye vipindi hewana au hata kwenye vituo vya redio.

Ushauri wangu humu jamvin 90% ya post zinazungumzia matatizo ya nguvu za kiume mim ningekushauri pekua thread za wadau zilizo pita juu ya nguvu za kiume utapata majibu mengi sana.
 

Nashukuru sana mkuu

Nitamtafuta huyo Dr Ndodi
 
Zoezi jengine linalofanana na hilo ni hili: ukienda kukujoa jaribu kukojoa kwa 'mafungu' yaani unakoja kidogo halafu unaubana tena mkojo halafu unauachia tena ...fanya mara kadhaa kila uendapo kukojoa... inachekesha lakini inaweza kukusaidia...!
Chengine mfanyie mazoezi 'bwana mdogo' ...angalizo : kwenye link hapo chini jaribu zoezi moja tu linaitwa 'Jelqing' utashangaa hiyo staying power ya ajabu utakayopata...kuwa muangalifu maana ukikosea hilo zoezi ni 'kabang' unakuwa siyo riziki...! teh teh teh...!
Jelq and Jelqing - Penis Enlargement Manual
 
Mkuu nawe nakushukuru sana kwa ushauri wako. Nitafanya hayo mazoezi hayo kama ulivyopendekeza

 
Mara nyingi suala la kupiga bao haraka linakuweko katika akili zetu na sio katika nguvu zetu za mwili. Sababu kubwa inayowafanya watu wapige bao haraka ni mhemkwo (stress), mhemkwo wa hamu ya kutaka ujione fundi, utake kumridhisha mwenzako...Unapokuwa mawazo yako umeyalenga huko, ndio mara kichupa kinafunguka na kumwaga.

Cha kufanya, ili kusisitiza tu yaliyokwishasemwa, wakati ukijihisi bado dakika moja kupiga bao, jizuwie. Ikiwa ulikuwa umezamisha mchi mpka mwisho utoe juu, ondosha mawazo yako kabisa huko. Inawezekana ukaona hata mzee "amevunjika moyo". Ukifikia hatua hiyo anza gemu upya.

Njia nyengine ni ukikaribia kumwaga toa mchi kabisa. Kamata sehemu moja chini ya p.u.m.b.u kuna mshipa unaopeleka damu na shahawa, ubinye huo kidogo kama sekunde 20. Inauma kidogo, lakini utakuwa umezuwia zoezi zima la kutaka kumwaga na unaanza upya.

Pia bila ya kufanya yote hayo, ukiona unataka kumwaga, toa kabisa na anza mchezo wa utomasaji, kuny.eg.es.hana na ikiwa ni mpezi wa kuzama chumvini, zamia. Ukimaliza zoezi hilo unaanza gemu na unaweza kulirudia mara unazotaka kabla ya finali.
 

Mkuu MAMMAMIA, nawe nakushukuru sana kwa ushauri wako, nitaufanyia kazi sana, ubarikiwe
 


Ndio ninavyofanya na inasaidia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…