mpe daily na uwe unambadilishia style na kingine mwambie awe anapiga kuanzia nne ili azoee na kingine romance inabidi uiongee manjonjo ili asichukie kuwa na wewe..
sikia we mdada kama mpenzi wako anakunywa mwambie anywe either symnorf(vodka) au konyagi ndogo plus red bull haina haja ya kwenda kwa docta utaona shughuli yake au kuna njia natural wakati akiona anakaribia anatakiwa abane zile pumb..xx na kila akitaka kukaribia anazibana hio njia nilipewa na mpemba mmoja nikajua uongo dah kumbe kweli...then uje utwambie tena kama katumia dakika ngapi
Rose unataka kufunga ndoa mbona mnafanya tendo la ndoa? unamdanganya mchaga wa watu mwache akaoe kwao
Hafiki dakika nane? Vijana mna kazi kweli. Inamaana wakati anasokomeza we macho yako yako kwenye saa. To me dakika nane naweza mkojolesha mwanamke raundi mbili... Maandalizi na maufundi tu mama. Afu mwambie aache kupiga punyeto.
Hahah... Saa ya kunote muda wa mkojolesho? LolBABU utaninunulia saa?
mpe daily na uwe unambadilishia style na kingine mwambie awe anapiga kuanzia nne ili azoee na kingine romance inabidi uiongee manjonjo ili asichukie kuwa na wewe..
kwan amekwambia tatizo romance?
kwani kuna mwanamme anaeweza zaidi ya dakika 5?
mbona kawaida wote si ni hivohivo jamani au?
Wewe ni jinsia gani? Nadhani hili ndo Tatizo la kufanya mapenzi kabla ya ndoa, acha ubinfsi kama wewe amekushinda unataka kumuachia nani hilo Tatizo???????
Mimi nikianza kutwanga KINU saa 1 usiku namaliza saa 6 mchana siku ya 2 njoo kwangu kama unataka burudani isiyo na kipimo hebu ni PM plz uje onja Asali usiyo itarajia.
Hahah... Saa ya kunote muda wa mkojolesho? Lol
ehh bdada muhogo
hadimu....sepaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa anakupa hamu tu wakazi gan huyo?
afu kwenda hosptal hatak?ahhh wewe ebu achana na uyo kibogoyo asokuwa na
njino moja ...
bora uolewe na masikin lakin uwena uhakika na shuguli kuliko na ilo joka
la kibisa....
ukiamua kuoana na mtu km uyo tegemea maumivu ndoan cz kuna siku utaenda
tu kuxoxoxooox nje cz autaweza kuvumilia miaka yote kuna siku tu utaenda
kwa mashababi yakakupe PANADOL WIMA...
BORA ANGEONYESHA USHIRIKIANO WA KWENDA HOSP...sasa km mkaidi hatak
hosptal utafanyaje?ajui wewe unaitaj huduma?hana huruma na wala hakujali
km angekujali angejali apatiwe tiba ili akuridhishe
daah mi sijawai kuona .... huyu dada sijuihahah hahhahhaaaa mamiii umetsha...woooooooooooote ni sekunde nt dk 8?
wengine wana pumzi dada mpk unaomba likizo ya kwenda kupata kikombe cha kahawa...na ukirud mech mbichiiiiiiiiiiiii lakin wengne ndo ivyo kabla ata aujakaa vzuri ye tayar ktamboooooooooooooooooooo
ni aya mavyakula yao(CHIPS MAYAI.WALA MAHARAGE NA BIA DAILY akitoka kwenye gari kapak ofsn saa 10 kawasha gar kaenda bar unazan apo pana shuguli?no tizi at ol...tizi analofanya ni kunyanyua glass ya ndovu bar basi
stress kibao...anawaza kumiliki hammer wakat bajaji hana
na ubnafsi
Habari wandugu,mim nimevumilia sana tabu hii naona nakaribia kuchoka ...Tatzo ni mpenzi wangu anashindwa kuniridhisha kila 2kifanya mapenzi hata dakika 8hazifiki tayari anafika MSHINDO,sometimes he ejaculate during romance,am fade up with this situation kwa kuwa hata siku moja sijawahi kusikia km nimeduuu'.nikimwambia anasema anajitahidi lakin anashndwa nikimshauri aende kwa doctor anasema hawezi kupeleka mambo km hayo hospital......nisaidieni jamani isitoshe 2nampango wa kufunga ndoa lakin mim hata hamu ya NDOA IMEISHA kwa sababu hii.
BABU JAMAN...plssssssssssss naomba ninunulie saa..manake yule kaka yake mary ana pbmkmiyo nataka nimzingatie kwa nukuu ya mshale wa saa