Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Biashara asubuhi,
Unataka ukae sana hapo, nchi itajengwa saa ngapi??
 
Jamani mwenzetu ana tatizo, seriously kama kuna uwezo wa kumsaidia tufanye hivyo...hii siyo joke jamani.
 
Fanya mazoezi sana ukiweza piga squats kwa wk 2 tu uje hapa urudishe majibu.
 
JF je kitaalamu mwanaume anatakiwa kufika mshindo baada ya mud gani akiwa anafanya tendo la ndoa??nn kinasababisha kuwahi au kuchelewa kufika??
 
JF je kitaalamu mwanaume anatakiwa kufika mshindo baada ya mud gani akiwa anafanya tendo la ndoa??nn kinasababisha kuwahi au kuchelewa kufika??

Unajuwa kumwaga au kutokumwaga is a psychological thing na hutegemea kwa mtu na mtu. Kiwastani, mwanamke inabidi alainishwe kitandani kama vile kumshika shika na unatakiwa ujuwe hisia zake ziko vipi kutokana na utundu wako.

Bahati mbaya wanaume wengi kitu kama hiki hawakijuwi, mzee akisimama tu atataka ajipigie haraka aondoke aende kwa mwingine wakati huyu uliyepiga hujamfikisha kileleni hata robo.

Kuja katika jibu lako; kawaida mwanaume anafikia kilele anapojisikia. Yes, anapojisikia. Kumbukeni, kuna wanaume wengine wanatomba lakini hawamwagi shahawa kutokana na udhaifu wao au la wanakuwa hawana experience na wanakuwa hawajuwi namna ya kuji control ili wafike kileleni. Utakuta mtu dizaini hii ni mwepesi kwa kusifia demu baada ya shughuli pevu kitandani kuwa ame enjoy ile mbaya na kumwagia demu misifa kibao kuwa ni mtamu hajapata ona maishani mwake wakati ni uongo mtupu. Na demu yule yule akiondoka jamaa anawahi bafuni kujikrimu (masturbation).

Vijana wengi washuka/wapanda mnazi (masturbation people) huwa hawachelewi kumwaga shahawa wanapokuwa faragha kujikrimu na imaginary girl friends zao, ila inawachukua muda saana kumwaga shahawa pale wanapokutana kimwili na mwanamke. Japo wengi siku hizi wanaogopa magonjwa na kuchukua njia ya mkato ya mkono lakini kwa kweli kushuka mnazi kuna madhara yake psychologically, na ndiyo kama haya.
 
JF je kitaalamu mwanaume anatakiwa kufika mshindo baada ya mud gani akiwa anafanya tendo la ndoa??nn kinasababisha kuwahi au kuchelewa kufika??

Mshindo, ukiwa uko Iringa mjini (uhindini) inakuchukuwa dakika tatu. Ikiwa upo chini kule Ruaha darajani, ukienda kwa gari, dakika 10 mpaka 15, ukipandisha kile kilima kinachotokea pale polisi kwa miguu, itakuchukuwa dakika 12.

Ikiwa unatokea Dar. Unafika Mshindo kwa masaa 6 mpaka 9, inategemea na spidi anayoendesha dereva wa gari uliyopanda. Kama unaendesha mwenyewe, kukiwa na harusi huko Mshindo itakuchukuwa sio zaidi ya masaa matano, kama kuna msiba itakuchukuwa masaa 12 mpaka 24, inategemea ulisimama mara ngapi njiani kuomboleza.
 
khaa!sijawahi ona
 
Ni nguvu ya kila kiungo kwenye mwili wa mwanaume,nadhani nitakuwa nimejibu sawa na swali lako ambalo ni pana sana,vinginevyo uwe specific.
 
wajameni kuna suala linanitatiza kidogo jinsi ya kuanza round ya pili,kifupi nina tatizo hili kwa mda mrefu ingawa nikiwa kwenye mchezo kwa round hiyo moja asilimia 98 ya wanawake ninaokukutana nao wanaridhika na kuwaacha hoi kitandani wameshiba malavidav vilivyo,i mean goli 1 nachukua saa 1 mpaka 3,kwa mdada anayekujoa anaweza kojoa mara mpaka wakati nikiwa kifuani,sasa nikikojoa tu moja hiyo mpaka kesho tena,je nifanyeje? hili tatizo linasababishwa na nini? najua wengine watakuwa kama mimi
 

Mimi siyo daktari, lakini nakumbuka nilishasoma maelezo fulani kuhusu tatizo lako. Hizo ni dalili za impotence. Kama unatumia vileo (pombe kali) inabidi ufikirie kuacha mara moja.
Ukitumia asali iliyochanganywa na mdalisini, tatizo lako linaweza kuisha baada ya muda mfupi!
 
Kwa mujibu wa wana-science wanasema " when a man ejaculates the initial spurts travel at 28miles per hr." ni lazima utachoka!!! Kama ukitaka kuendelea kakoge alafu anza kazi tena.


Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Goli moja saa nzima wewe kiboko huyo mwanamke akitoka hapo ana homa...
 
Ile kitu ni tatizo kwa vijana wengi waliosoma boarding!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…