Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

hahahahaaA....u made my day.....we ni fundiiiiii
 
Wakuu,nataka kuuliza hivi ni kweli maziwa mgando yanazuia kumwaga shahawa mapema naomba kujua ilo wenyeji wangu.
 
duh watu mnashindwa tu kuwa waganga! eeh unafanyaje? unakunywa? unapaka? au unatumbukiza kwenye kikombe cha maziwa mgando? funguka zaidi
 
English media zimeharibu sana tumia Tafsida acha ununda khaaa
 
Zamani 2007 nilikuwa nakunywa sana mtindi na gemu nilikuwa napiga hadi 45mins ila kwa sasa kiwango kimeshuka sasa sijui kwa sababu cnywi mtindi au nimemzoea demu au stress za maisha au demu manjonjo kapunguza au damu inaanza kupoa au .....
 
duh watu mnashindwa tu kuwa waganga! eeh unafanyaje? unakunywa? unapaka? au unatumbukiza kwenye kikombe cha maziwa mgando? funguka zaidi

Jicho Tai nilidhani unaona zaidi juliko wengine kumbe la. Kijana anaomba msaada kuona je mtindi unasaidia kudelay ejaculation? Amesikia mahali hivyo anatafuta uthibitisho. Mthibitishie kama unajua ukweli.
 
Ngoja na mimi nianze kunywa nikienda kwenye gemu,huyu demu atalia kireno
 
Wakuu,nataka kuuliza hivi ni kweli maziwa mgando yanazuia kumwaga shahawa mapema naomba kujua ilo wenyeji wangu.

Watanzania bwana.... 99 asilimia ya mawazo yetu ni ngono na zinaa
 
Watanzania bwana.... 99 asilimia ya mawazo yetu ni ngono na zinaa#WATU WANATAFUTA HISHMA!KTK MAMBO HAYA WHICH IS PROPER MADICATION FOR DELAY EJACUL /PEOPLE WANTS TO SAVE ENERGY, 1 GOAL 1 HOUR
 
Jicho Tai nilidhani unaona zaidi juliko wengine kumbe la. Kijana anaomba msaada kuona je mtindi unasaidia kudelay ejaculation? Amesikia mahali hivyo anatafuta uthibitisho. Mthibitishie kama unajua ukweli.

mtu amesema amesikia? kwa nini hakuuliza kwa huyo mtu aliyesikia akamwambia inakuwaje na kama angekuwa na uwalakini ndo angekuja hapa na taarifa kamili! si unajua mkuu no research no right to speak!
 
Wanajamvi msaada,natafuta e*d*spray inisaidie ktk ku-save energy to reach at least 45min per shoot msaada any?
 
Mkuu hiyo ni psychological treatment zaidi na sio artificial solution inaweza kukusaidia. You can try it and see for yourself. Umeoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…