Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Nilikuwa na mmoja akanikimbia kwa sababu simfikishi kwenye raha,

Nikajaribu wa pili ndio akaniambia atanichapa kwa kuwa ninamuacha akiwa na kiu.

Asa huyo Usimfanyie majaribio sasa.ukipata ushauri mbadala ndo uende lasivo utakimbiwa kila siku.
 
Unganisha zote 6 upigie humo humo usitoe.

Mkuu nifanyeje ili niweze kuunganisha bao 6 bila uboo kulegea? maana ukisha legea siwezi kuendelea, Naweza kuunganisha bao la kwanza nala pili kabla ya dakika tatu, baada ya hapo uboo unalegea ukiamka nikiingiza nakojoa kabla ya dakika mbili,
 
Wanawake wote wanaonipa pachupi wananiambia watanichapa, kisa nikiingiza tu ninakojoa kabla hata ya dakikambili,
Sasa nifanyeje nisikojoe haraka?
Hata nikipiga bao sita zote zinakuwa chini ya dakika mbili,

Wanawake wote wlikupa unauhakika na afya zao? Nenda kapime afya kwanza isije ikawa wanakutishia kukuchapa kumbe wamesha kuachia kichapo cha maradhi
 
Pole sana. Hebu jaribu yafuatayo;
1. Tumia condom, kwa kias fulan hupunguza friction ambayo yaweza kukuongezea dakika mbili tatu.
2. Punguza stress, jiamini, usiisikilizie saaana na usiwazie kukojoa tu; waza kngne tofauti na hicho.
3. Kula mlo wenye nguvu beforehand, sio vyepe na mayai ya mchina.
4. Anza kwa speed ndogo; spidi sana = friction sana = utam sana = kukojoa fasta.
5. Stop au punguza speed au toa nje pindi uhisipo wazee wataka kutoka.
6. Fanya mazoezi au cheza michezo mbalimbali mara kwa mara; utakuwa na pumzi
7. Jenga uwezo wa kuwabana "wazee" wasitoke; jipe mazoezi kwa kubana mkojo kwa sekunde 5 na kuuachia, bana tena,
achia, etc. (Kegel muscles strengthening technique)
8. Mwone daktari kwa uchunguzi na matibabu Zaidi
 
Naomba msaada,
Wanawake wote wanaonipa pachupi wananiambia watanichapa, kisa nikiingiza tu ninakojoa kabla hata ya dakikambili,
Sasa nifanyeje nisikojoe haraka?
Hata nikipiga bao sita zote zinakuwa chini ya dakika mbili,
 
Aiseee pole sana. Inaitwa premature ejaculation. Ingia google find causes of premature ejacukation then tafuta pia treatment or cobtrol of premature ejaculation. Hali hiyo itakufanya mtumwa sana. Meanwhile ukisubiri kutatua tatizo inabidi uwe mtaalam wa romance ili unwandae bibiye vizuri ili hizo dakika mbili zifanye kazi.
 
Naomba msaada,
Wanawake wote wanaonipa pachupi wananiambia watanichapa, kisa nikiingiza tu ninakojoa kabla hata ya dakikambili,
Sasa nifanyeje nisikojoe haraka?
Hata nikipiga bao sita zote zinakuwa chini ya dakika mbili,

Kwani huwa unakojoa mara ngapi kila ukilala na dem?
 
Hee mm ndo naonaga vzur watu kma nyie co janaume guumu kma nn

duh kweli tumetofautiana mi mtu kama huyo hapana mana hata nje ya nyumba hawez nifikisha napendaga mwanaume anaeenda muda mreeeefu tena kwa speed ya mikiki mikiki ndo raha yangu et...!!
 
Back
Top Bottom