Pole sana. Hebu jaribu yafuatayo;
1. Tumia condom, kwa kias fulan hupunguza friction ambayo yaweza kukuongezea dakika mbili tatu.
2. Punguza stress, jiamini, usiisikilizie saaana na usiwazie kukojoa tu; waza kngne tofauti na hicho.
3. Kula mlo wenye nguvu beforehand, sio vyepe na mayai ya mchina.
4. Anza kwa speed ndogo; spidi sana = friction sana = utam sana = kukojoa fasta.
5. Stop au punguza speed au toa nje pindi uhisipo wazee wataka kutoka.
6. Fanya mazoezi au cheza michezo mbalimbali mara kwa mara; utakuwa na pumzi
7. Jenga uwezo wa kuwabana "wazee" wasitoke; jipe mazoezi kwa kubana mkojo kwa sekunde 5 na kuuachia, bana tena,
achia, etc. (Kegel muscles strengthening technique)
8. Mwone daktari kwa uchunguzi na matibabu Zaidi