Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Nini tatizo la hasa kwa wale wanahikumaliza wakati wa kufanya tendo la ndoa?

Kwa wale mnaofahamu tufahamisheni

==========
Baadhi ya majibu:

hii kitu mbona MziziMkavu anayo dawa yake.. hebu mkuu weka solution na Moderator ai'update hapo juu.
[h=2]Suluhisho la tatizo la kufika kileleni mapema[/h]
Ni tatizo linalowasumbua wanaume wengi hivi sasa, zifuatazo ni sababu na jinsi ya kutatua tatizo hilo.

Punguza wasi wasi na haraka ya kupata raha na utamu

Wanaume wengine wanakuwa nanwasiwasi kuwa wataperfom vizuri au vibaya kiasi gani,wengine wanakuwa na wasiwasi kuwa watapata raha kiasi gani na wengine ambao washajijua kuwa huwa wanafika kileleni mapema, wanakuwa na wasiwasi kuwa watafika kileleni mapema tena.

Tatizo hili mara nyingi linawasumbua wanaume ambao hawana mazoea ya kupeana raha na utamu mara kwa mara, au wanaume ambao ndio kwanza wameanza mambo ya kupeana raha na utamu.

Kwa sababu wanapata raha ya ziada tofauti na wanaume ambao wana do mara kwa mara ingawa pia kuna wazoefu ambao wanasumbuliwa na hili tatizo.

Jinsi ya kufanya

Punguza uoga, wasiwasi na haraka. Kama uoga, wasiwasi na haraka vinasababishwa na kutopeana raha na utamu mara kwa mara, basi jaribu kupeana raha na utamu mara kwa mara mpaka akili yako izoee kitendo cha kupeana raha na utamu na mashine yako izoee joto la Uke.

Ila kama wewe ni mzoefu na unasumbuliwa na tatizo hili la wasiwasi, basi unatakiwa umwone mwanasaikolojia au daktari kwa sababu nina uhakika watu hao watakushauri vizuri.

Pia jaribu kufanya mazoezi ya mwili mara kwa mara kwa kuwa yanapunguza uoga na wasiwasi na yanaongeza kujiamini na pia yanaongeza stamina itakayokusaidia usicum mapema.

Acha kujichua/punyeto

Wanaume wengi washawahi kujichua baada ya kubalehe, wengine wanaacha kujichua wakishapata wasichana au wakianza kuwa watu wazima. Lakini wapo wanaume wengine kujichua kwao imekuwa kama ulevi wa pombe au madawa ya kulevya.

Wanazidisha kiwango cha kufanya kwa siku na kuacha hawawezi hata kama wanapenda kuacha. Na kadri wanavyozidi kujichua, ndio misuli ya mashine zao inazidi kulegea na ndio hapo sasa wanakuja kupata tatizo la kufika kileleni mapema wakati wa kupeana raha na utamu.

Jinsi ya kufanya

Kama unajichua zaidi ya mara moja kwa siku au haiwezi kupita siku bila kujichua na unasumbuliwa na tatizo la kufika kileleni mapema, basi ujue kujichua ndio tatizo lako unatakiwa uache mara moja,kama hujui jinsi ya kuacha basi zifuate hatua zifatazo:-

*Usikae peke yako kabisa ili kuepuka kupata hamu ya kujichua bila sababu.

*Usikae karibu na vitu vitakavyokupa tamaa ya kujichua mfano,picha za ngono.

*Tafuta kitu kingine cha kufanya kitakachokuchangamsha mfano, kucheza mpira n.k

*Fanya mazoezi kwa kuwa yanasaidia kuondoa mawazo ya ngono na kujichua.

*Punguza idadi ya kujichua kwa siku kidogo kidogo mpaka uache kabisa.

Ukitaka Dawa ya kuchelewa kufika kileleni mapema ninayo nitafute kwa wakati wako nitumie Email Baruwa ya pepe Email yangu hii hapafewgoodman@hotmail.com

chanzo.https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/672530-suluhisho-la-tatizo-la-kufika-kileleni-mapema.html
 
Wanawake wote wanaonipa pachupi wananiambia watanichapa, kisa nikiingiza tu ninakojoa kabla hata ya dakikambili, Sasa nifanyeje nisikojoe haraka?
Hata nikipiga bao sita zote zinakuwa chini ya dakika mbili.

Hahahahaha.. You made ma time asee!!
 
Nawashukuru wote waliotoa USHAURI na MIONGOZO mbalimbali naanza kuyafanyia kazi yote mliyoshauri na mliyokataza, maana nimeanza kupata picha ya tatizo langu kuwa nila kisaikolojia zaidi,
 
kimsingi hili tatizo limekuwa sugu sana kwa wanaume tulio wengi including me,na nionavyo mimi kumekuwepo na post nyingi sana hapa jf doctor kuhusu hili suala lakini sijaona mwenye suluhu ya hili tatzo,wengine wanatangaza tu biashara zao hapa za madawa,lakini kweli siku hii suluhu ikipatikana sehemu hata kwa babu wa loliondo patakuwa nafuu.Anywy hata mimi nina tatizo hilo na nilipost hapa kuomba msaada,kuna member mmoja ameniahidi kuwa yeye ana dawa inayomaliza hilo tatizo kabisa,na hiyo dawa haiuzi,bali anatoa bure,ameniahidi kunitumia ndani ya siku mbili hizi,kwa hiyo nikihitumia kama itakuwa na postive results nitawaletea majibu hapa na huo utakuwa mwanzo qa suluhu ya hili tatizo.Lakini pia wengine walinishauri niende kwa daktari bingwa wa njia ya mkojo(urologist)kuwahuyo atanisaidia na wengine walisisitiza kufanya mazoezi.
 

naomba connection na huyo mtu tafadhali. Nataka kaujaribu hiyo dawa.
 
Pole kaka. Ila jua kuwa hujazeeka maana hapa dar tunasema uzee mwisho chalinze na chalinze nako nasikia wamegoma labda morogoro. Lakini sababu ni nyingi moja wapo ni lishe duni, kikuosa mazoezi, stress na kadhalika. nitafute nitakusaidia na litaisha lakini ukweli hilo ni tatizo la wanaume wengi ingawa huwa hawasemi hata mimi lilisha nikuta wakati Fulani. +255 689 417 472
 
Nini tatizo la hasa kwa wale wanahikumaliza wakati wa kufanya tendo la ndoa?

Kwa wale mnaofahamu tufahamisheni

==========
Baadhi ya majibu:

KIBOKO YA TATIZO NJITI EJACULATION NI KUNYWA MMEA GINSENG NA BILOBA HUU MCHANGAANYIKO NI KIBOKO SANA HATA KAMA UNA MIAKA 90 UTAPIGA MTANANGE KUPITA MAELEZO PIGA 0716 60 99 16 UPATE MIMEA HIYO HARAKA:llama:
 
 
Hivi jamani wale wazoefu watumbie hili tatizo linasababishwa na nn haswa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…