Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Hivi jamani wale wazoefu watumbie hili tatizo linasababishwa na nn haswa!!!!
baadhi ya sababu:wasiwasi,mfano umempata mwanamke mzur na hunauhakika kama utamridhisha,unagongea uchochoron au kwny jumba bovu au geto la bro so unaogopa wakati wowote mtu atatokea.2:kama hujagonga muda mrefu na hukupata muda wakutosha kukaa pa1 nampenzio mfano mnakutana kusex thn after1 hr mnaagana.3: too much concetration kwa mwanaume kwny kitobo wakati wa tendo.last ucbane makalio unapopeleka machine ndan.ukiona wazungu wanatak kuja jicontrol,jifunze hii yakujcontrol kwa kupiga punyeto.
 
mkuu lakini hapa si ndio mahala pake? mbona mnawanyanyapaa members wenye ID ngeni masikioni mwenu?

kama unahisi uzi haufai si uripoti kwa Invisible aufute utoke hapa?

sasa MMU na bunge la katiba wapi na wapi? this is the weekend, let people remove some issues they have, kesho tuianze tukiwa fresh kabisa!

em tusiwashushe viwango hawa wenzetu, hata kama wanakosea! they also have some rights to be given something positively...

nalogoff!

Hapana, I am just trying to configure out one waking in the morning thinking about ejaculation!
 
Hapana, I am just trying to configure out one waking in the morning thinking about ejaculation!

mkuu hata kama, hao wazungu wenyewe ambao wanatuaminisha kwamba wako busy sana, wanapatwa pia na matatizo kama haya...

Hii ni baiolojia mkuu, its involuntary action, sio kwamba mtu kufikwa na tatizo kama hili basi ndio hana kazi ya kufanya ama taifa limejaa vilaza..

Btw, asaidiwe kulingana na tatizo alilonalo..
 
tayari out of form! 50 years ejeculation ya nini? Tena iwapo unajisikia sawa sawa kwenye tendo.

Never! Mwanaume at 50 bado kabisaaaa! Muulize mzee wetu RM! Chezea wanaume nini. Naskia Wanawake KY inawahusu at the age of 50! Is that true?
 
baadhi ya sababu:wasiwasi,mfano umempata mwanamke mzur na hunauhakika kama utamridhisha,unagongea uchochoron au kwny jumba bovu au geto la bro so unaogopa wakati wowote mtu atatokea.2:kama hujagonga muda mrefu na hukupata muda wakutosha kukaa pa1 nampenzio mfano mnakutana kusex thn after1 hr mnaagana.3: too much concetration kwa mwanaume kwny kitobo wakati wa tendo.last ucbane makalio unapopeleka machine ndan.ukiona wazungu wanatak kuja jicontrol,jifunze hii yakujcontrol kwa kupiga punyeto.

usiwapotoshe watu kama bunge la katiba la yule mzee
 
ah. mbn ize sn cheza na monz wako kw muda mref siyo unaingia tu geto unamvua na kuloweka kamba eh utakimbiwa
 
Hata mimi hii hali inanisumbua sana nikiingiza tu tayari namwaga vitu na unamkuta demu ndio kwanza hajamaliza basi anahangaika anashindwa hata kupata usingizi sijui hata nifanye nini wana JF mwenye ufahamu atusaidie ili tuweze kuwaridhisha wenzetu.

Haaa haa tuko sare sare hapo sana sana bao la kwanza, ila ukiona hvyo we tayar afu yeye anahangaika muingizie vidole kwa ustad na ufundi mkubwa
 
Jamani ndg zangu naombeni ushauri wenu...! Nimekuwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni isivyo vya kawaida...!
Yani nauwezo wa kupiga goli la kwanza within a minutes na magoli mengine hivyo hivyo pia.
Ushauri wenu please
 
Natamani nikushauri bt sina uhakika umeoa au vp?ikiwa umeoa nipotayari kulipa sababu ya hivyo na tiba yake hata haiitaji gharama Yeyote ya kifedha.ila kama haujaoa acha2 at all utakuja kitumia hizo nguvu kwa mkeo Inshaallah

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom