Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Jamani ndg zangu naombeni ushauri wenu...! Nimekuwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni isivyo vya kawaida...!
Yani nauwezo wa kupiga goli la kwanza within a minutes na magoli mengine hivyo hivyo pia.
Ushauri wenu please

Umeoa?

Kama umeoa ntakusaidia lakini kama hujaoa nenda hospitali.
 
Hivi inakuaje mwanamume unafanya tendo la ndoa, msisimko na kufikia kilele kama kawaida. Lakini mbegu wala maji maji yanayoambatana na mbegu hayatoki kabisa. Yaani hata tone moja halitoki, achilia mbali kuonyesha angalau dalili kwamba kuna chochote kilijaribu kutoka. Njia inaonekana kavu kabisa.
Naomba msaada. Umri wa mwanaume ni miaka 50.
possibly wewe utakuwa mtumiaji wa sodoma na gomora, inasemekana mirija huwa inazibwa na matope ya chooni. unapokuwa unafanya sodomy unapopumua na kuachia hewa unavuta vimavi na kuviingiza ndani hadi kuziba mirija. waone madaktari wakakufanyie upasuaji wazibue mirija.
 
Huo upumuaji unaozungumzia hapa ni upi mkuu?
 
wewe unapofanya huwa unaziba pua hupumui? unapopumua hasa wakati ule mapigo ya moyo huwa mazito na damu kwenye mhogo inakuwa inapana na kushuka unapopumu au unavyokaza misuli ya ya mhogo wakati wa in and out ujue kupitia urethra unakuwa unavuta uchafu unaingia kupitia urethra. uchafu unakuja kukusanyika kwenye junction ya seminal gland (junction kwenye kwenye kibofu na testacles. accumulation ya viuchafuuchafu hivyo ikizidi ndio kuziba kwa mirija inayotoa semen na mbegu unabakiwa na ile mirija inayotoa mkojo tu toka kwenye kibofu kwasababu mkojo unakuja kwa nguvu haviwezi kuziba ila mbegu toka kwenye mbupu nguvu yake si kubwa kama ya mkojo hivyo inaweza kushindwa kuzibua vipunjepunje vya mmavi hivyo. sodoma na gomora ni mbaya sana, yet vijana wengi ndio mchezo wao siku hizi.
 
muone doctor akusaidie, umri huo si sababu ya muhusika kushindwa kukojoa. Something is wrong somewhere.

hiyo itakuwa physiological problem but kwa me ejaculation
has no end till death
 
wewe unapofanya huwa unaziba pua hupumui? unapopumua hasa wakati ule mapigo ya moyo huwa mazito na damu kwenye mhogo inakuwa inapana na kushuka unapopumu au unavyokaza misuli ya ya mhogo wakati wa in and out ujue kupitia urethra unakuwa unavuta uchafu unaingia kupitia urethra. uchafu unakuja kukusanyika kwenye junction ya seminal gland (junction kwenye kwenye kibofu na testacles. accumulation ya viuchafuuchafu hivyo ikizidi ndio kuziba kwa mirija inayotoa semen na mbegu unabakiwa na ile mirija inayotoa mkojo tu toka kwenye kibofu kwasababu mkojo unakuja kwa nguvu haviwezi kuziba ila mbegu toka kwenye mbupu nguvu yake si kubwa kama ya mkojo hivyo inaweza kushindwa kuzibua vipunjepunje vya mmavi hivyo. sodoma na gomora ni mbaya sana, yet vijana wengi ndio mchezo wao siku hizi.

Sasa nimekuelewa kaka.
 
Wadau mm tatizo langu ninamaliza haraka sana yaan hata hazifiki dakika 5 lakn nikipumzika kidogo tukirudi tena naweza kuchukua hata nusu saa sasa sijui tatizo ni nini wakuu nishaurini.
 
images
 
unamaliza haraka kufanya nini? kula,kuny.a au???
 
tatizo pupa, ona tu ni jambo la kawaida na jiandae vya kutosha. Papara zitakuponza
 
Mmmh!! mie nadhani ni kwa wanaumewengi kile cha kwanza huwa hakikawii, na cha pili ndo kinachukua muda, tukiwatowa wale wanaotumia madawa, kikawaida hali inakuwa hivyo, labda kama wewe unamaliza haraka sanaa yani ndani ya dakika moja ukichovya tu tayari hapo labda ndo uwe na woga, ila chunguza mambo haya, Je? hali hii inakutokea kwa wanawake wote au huyo mmoja (kama si mtu wa kuchepuka) Je? hii hali imeanza lini, mana hali ya kukojoa haraka ina sabab nyingi kumfeel sana mwenza wako inachangia na pia kama mwanamke yuko vizuri kwenye kukuuandaa basi pia hali hiyo itakutokea usikute mwenza wako ni mjanja katika maandalizi sio wale wanawake wanaosubiri kuandaliwa wao tu, inaweza ikawa si tatizo, bali ni wewe tu unazidiwa kete na mwenza.
 
Ilininitokea game la kwanza nimeona hvyo mara ya tatu sasa na mara nyingi ninakua na uchu sana
 
Kawaida mkuu usihofu, cha kwanza ndio mbwembwe zake. Ingekua kila raund ndio shida.
 
Back
Top Bottom