Mmmh!! mie nadhani ni kwa wanaumewengi kile cha kwanza huwa hakikawii, na cha pili ndo kinachukua muda, tukiwatowa wale wanaotumia madawa, kikawaida hali inakuwa hivyo, labda kama wewe unamaliza haraka sanaa yani ndani ya dakika moja ukichovya tu tayari hapo labda ndo uwe na woga, ila chunguza mambo haya, Je? hali hii inakutokea kwa wanawake wote au huyo mmoja (kama si mtu wa kuchepuka) Je? hii hali imeanza lini, mana hali ya kukojoa haraka ina sabab nyingi kumfeel sana mwenza wako inachangia na pia kama mwanamke yuko vizuri kwenye kukuuandaa basi pia hali hiyo itakutokea usikute mwenza wako ni mjanja katika maandalizi sio wale wanawake wanaosubiri kuandaliwa wao tu, inaweza ikawa si tatizo, bali ni wewe tu unazidiwa kete na mwenza.