Jiwe who?Ndani ya muda mfupi unapiga bao. Hii ni sentesi tata mda mfupi kwangu ni kuanzia dk 7 -10 Juma yeye ni dk 15-20 Hamisi ni dk 3-7 Joseph ni dk 30-33 pogba ni dk 2-4 jiwe ni dk 40 to infinity sasa kuwa muwazi upate msaada
Enyi kizazi cha nyoka , acheni yote mfuateni yeye aliye haiHabari wakuu,,,kwanza salama,,pili naombeni ushauri wa mawazo au dawa juu ya hili tatizo,,,tatizo LA premature ejaculation ni tatizo linalowasumbua wanaume weng has a zama hizi,,pindi amuingiliapo mwanamke ndanu ya muda mfupi tu anapiga gori na hapo mashine inalala,,naomben ushaur wa mawazo au kama dawa zipo za kuzuia tatizo hili tuambiane
hahaha jiwe tenaNdani ya muda mfupi unapiga bao. Hii ni sentesi tata mda mfupi kwangu ni kuanzia dk 7 -10 Juma yeye ni dk 15-20 Hamisi ni dk 3-7 Joseph ni dk 30-33 pogba ni dk 2-4 jiwe ni dk 40 to infinity sasa kuwa muwazi upate msaada
dall ya kisonono mkuuMimi nikiiona tu papuchi huwa namwaga hapohapo![emoji53][emoji53][emoji53]
Jiwe stone from the .....houseJiwe who?
Hapo ni kujikubali tu, wengi wanakubali hiyo hali. Si ili mradi upate raha tu.Habari wakuu,,,kwanza salama,,pili naombeni ushauri wa mawazo au dawa juu ya hili tatizo,,,tatizo LA premature ejaculation ni tatizo linalowasumbua wanaume weng has a zama hizi,,pindi amuingiliapo mwanamke ndanu ya muda mfupi tu anapiga gori na hapo mashine inalala,,naomben ushaur wa mawazo au kama dawa zipo za kuzuia tatizo hili tuambiane
WANAUME wana matatizo mengi lakini sijawahi kusikia kuwa wana daktari Bingwa
Ndio Yule BASHITE?Wee vipi? kweni hujasikia Dr bingwa wa wanaume anaitwa "Tezidumeligist??
Premature ejakulesheni sio tatizo mkuuHabari wakuu,,,kwanza salama,,pili naombeni ushauri wa mawazo au dawa juu ya hili tatizo,,,tatizo LA premature ejaculation ni tatizo linalowasumbua wanaume weng has a zama hizi,,pindi amuingiliapo mwanamke ndanu ya muda mfupi tu anapiga gori na hapo mashine inalala,,naomben ushaur wa mawazo au kama dawa zipo za kuzuia tatizo hili tuambiane
Jamani! Mambo mengine muwe mnapotezeaJiwe who?
kama upo Dar tuwasiliane upate dawa. njoo inbox.Habari wakuu,,,kwanza salama,,pili naombeni ushauri wa mawazo au dawa juu ya hili tatizo,,,tatizo LA premature ejaculation ni tatizo linalowasumbua wanaume weng has a zama hizi,,pindi amuingiliapo mwanamke ndanu ya muda mfupi tu anapiga gori na hapo mashine inalala,,naomben ushaur wa mawazo au kama dawa zipo za kuzuia tatizo hili tuambiane
Ya kienyeji au kizungukatafute dawa inaitwa "Cupid" tatizo lako litakuwa limekwisha.....ukipona usisite kunipatia ujira wangu
Nilitaka nikutag ujueUshaur humu bila kumuona Daktar , utakufia kifuan mwa mwanamke.
Hata ivo
Fanya mazoez ya mwili nakegel
Kula karanga mbegu za maboga ,matikiti maji kwa sana.
Kunywa maji mengi mnoo.
Acha pombe na sigara
N.k
N.k
N.k