Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Ndani ya muda mfupi unapiga bao. Hii ni sentesi tata mda mfupi kwangu ni kuanzia dk 7 -10 Juma yeye ni dk 15-20 Hamisi ni dk 3-7 Joseph ni dk 30-33 pogba ni dk 2-4 jiwe ni dk 40 to infinity sasa kuwa muwazi upate msaada
Jiwe who?
 
Habari wakuu,,,kwanza salama,,pili naombeni ushauri wa mawazo au dawa juu ya hili tatizo,,,tatizo LA premature ejaculation ni tatizo linalowasumbua wanaume weng has a zama hizi,,pindi amuingiliapo mwanamke ndanu ya muda mfupi tu anapiga gori na hapo mashine inalala,,naomben ushaur wa mawazo au kama dawa zipo za kuzuia tatizo hili tuambiane
Enyi kizazi cha nyoka , acheni yote mfuateni yeye aliye hai
 
Ndani ya muda mfupi unapiga bao. Hii ni sentesi tata mda mfupi kwangu ni kuanzia dk 7 -10 Juma yeye ni dk 15-20 Hamisi ni dk 3-7 Joseph ni dk 30-33 pogba ni dk 2-4 jiwe ni dk 40 to infinity sasa kuwa muwazi upate msaada
hahaha jiwe tena
 
PRE matured ejacuration sio hio maana ya pre matured ejacuration ni mbegu zinatoka huku hazijakomaa hazina wezo wa kutungisha mimba
 
Habari wakuu,,,kwanza salama,,pili naombeni ushauri wa mawazo au dawa juu ya hili tatizo,,,tatizo LA premature ejaculation ni tatizo linalowasumbua wanaume weng has a zama hizi,,pindi amuingiliapo mwanamke ndanu ya muda mfupi tu anapiga gori na hapo mashine inalala,,naomben ushaur wa mawazo au kama dawa zipo za kuzuia tatizo hili tuambiane
Hapo ni kujikubali tu, wengi wanakubali hiyo hali. Si ili mradi upate raha tu.
Ila njia inayofanya kazi kama utashindwa kujikubali ni
------- " ukiwa unakaribia kumwaga manii, chomoa uume na uminye sehemu kati ya kichwa na kiwili wili cha uume mpaka itakapotaka kusinyaa ndo uanze tena( mara nyingi ni see 35 mpk dk 2), fanya hivo mara kwa mara na utaona tofauti. Hata hivyo zoezi hili linafanikiwa sanaaaa ukiwa unafanya kwa punyeto".

Kuna shida gani kumwaga mapema? Piga mzigo sepa. Ukiwa mtu mzima kuna wakati hata kumwaga utaona uvivu itabidi ufake tu kua umemwaga.
Hii ni phase na itapita, usiwaze sana.
 
Habari wakuu,,,kwanza salama,,pili naombeni ushauri wa mawazo au dawa juu ya hili tatizo,,,tatizo LA premature ejaculation ni tatizo linalowasumbua wanaume weng has a zama hizi,,pindi amuingiliapo mwanamke ndanu ya muda mfupi tu anapiga gori na hapo mashine inalala,,naomben ushaur wa mawazo au kama dawa zipo za kuzuia tatizo hili tuambiane
Premature ejakulesheni sio tatizo mkuu
Tatizo ni dushe kulala
Mbona sisi tunayo lakini dushe halilali
 
Habari wakuu,,,kwanza salama,,pili naombeni ushauri wa mawazo au dawa juu ya hili tatizo,,,tatizo LA premature ejaculation ni tatizo linalowasumbua wanaume weng has a zama hizi,,pindi amuingiliapo mwanamke ndanu ya muda mfupi tu anapiga gori na hapo mashine inalala,,naomben ushaur wa mawazo au kama dawa zipo za kuzuia tatizo hili tuambiane
kama upo Dar tuwasiliane upate dawa. njoo inbox.
 
Uwe unakula ganja na konyagi dry,bao la kwanza ni dk 45 hadi 75, na la pili ndo usiseme , la tatu hutataka kabisa, utasahau kabisa tatizo lako....
 
Back
Top Bottom