Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Habari zenu naombeni ushauri hivi ni tatizo gani linasababisha mwanaume awahi kukojoa wakati wa tendo yan unakuta sekunde chache kakojoa siku akijitahidi kuchelewa ni dk 3 yan hapo kajitahidi sana tena hizo dk 3 unakuta ni mpaka mwanamke ukae kama gogo usikatike ndoanafikisha, ila tofauti na hapo ni dk 1 tayar kakojoa msaada jamani afanyaje awe anachelewa maana mazoezi anafanya, anakula vizuri ila sielewi tatzo ni nn jaman
 
Mwambie aache kupiga nyeto pia mwambie aache kula chips mwambie atafune kalot Pia ale matikiti maji na mbegu zake
 
Kila Mwanaume aliwahi kuwa hivi, kwenye kipind cha ukuaji wake, inasababishwa na mambo mengi,
1. kufanya punyeto.
2. kukaa muda mrefu bila kufanya
3. kuwa na hisia za karibu na nyege nying. (hisia)

La kuangalia je? anafanga mara ya 2, na ya 3, na ya 4 na ya 5? kama jibu moja wapo kati ya hayo ni hapana, basiii ndio anatakiwa aaangalie daily routine, ukiacha hayo mazoez, je Food intake yake ikoje?anakula vizuri? anashiba?, anapumzika? haumwi? hana Stress? Anakupenda? anafurahia kuwa na wewe? ana nyege na wewe?
 
Mwambie asikamie. Na afanye km ni kitu cha kawaida asiwe na misisimko ya ajabu. Halafu yeye mwenyewe ajifunze kuhold bao likija.
 
Mi naomba msaada. Nachelewa kukojoa. Yan ninazaidi ya miaka mitano kupiga bao zaid ya tatu. Siku hizi itc worse hata moja naweza nsikojoe. Nalala na mwanamke mpaka aseme amechoka ndyo na mm naweza muacha bila kukojoa au kukojoa kwa kulazmisha.
 
Mi naomba msaada. Nachelewa kukojoa. Yan ninazaidi ya miaka mitano kupiga bao zaid ya tatu. Siku hizi itc worse hata moja naweza nsikojoe. Nalala na mwanamke mpaka aseme amechoka ndyo na mm naweza muacha bila kukojoa au kukojoa kwa kulazmisha.
umemchoka Huyo Mdada, ama K iko kawaida sana Mzee Baba,
sio bure
 
Huyo atakuwa na anxiety wakati wa kufanya tendo... Hiyo ndo mara nyingi husababisha premature.

Kitu kingine anacho weza kufanya ni kujitrain kwa kutumia "edging", you can google it. Yaani hii ni kwamba either akiwa ana-masturbate au yuko na msichana wake wakati akiona anakaribia kukojoa apunguze speed kabisa, akiwezekana ambadilishe style kabisa, halafu aanze taratibu kurudia speed ya awali, aendelee hivyo hivyo akiona tena anakaribia kukojoa apunguze speed kabisa, ambadilishe tena style amkiss kwa muda kidogo, kama ni mtu wa kuzama chumvini, azame... Yote hii inachofanya ni kudelay kwa mwanaume kukojoa huku mwanamke akiendelea kupata raha. Kwasababu unakuwa hupump tu muda wote. Aendelee hivyo hivyo mpaka atakapoona hawezi kujizui kukojoa kabisa ndo akojoa.

Sema hiyo mbinu ya hapo juu, yaani "edging", inahitaji discipline ya hali ya juu kwasababu wanaume tushazoea ukiwa unakaribia kukojoa ndo speed ya kupump inaongezeka. Ni easy kushindwa kujizuia.

Believe me ukifanya hivyo vitu utakuwa unajitrain mwili wako kutokukojoa mapema. Hiyo ya kukojoa ndani ya dakika moja utakuwa unakusikia kwa wengine.
 
A better question:

Kwa nini wanawake wanachelewa? Wafanye nini ili waweze kuwahi?

Even better question:

Kwa nini unadhani kuwahi ni tatizo?
 
Mwenzang round ya 2 haend wala ya 3 ila tunapendana tena sana tu kula anakula vzur hapo kwenye stress ndo cjajua coz na haya maisha yalivyo na ugumu sasa cjui kichwan kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…