Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
kizunguYa kienyeji au kizungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kizunguYa kienyeji au kizungu
Namm nilikuwaza mnoo baada ya kusoma hii post.Nilitaka nikutag ujue
Mh nyeto anadai hapigiMwambie aache kupiga nyeto pia mwambie aache kula chips mwambie atafune kalot Pia ale matikiti maji na mbegu zake
Mwambie asikamie. Na afanye km ni kitu cha kawaida asiwe na misisimko ya ajabu. Halafu yeye mwenyewe ajifunze kuhold bao likija.Habari zenu naombeni ushauri hivi ni tatizo gani linasababisha mwanaume awahi kukojoa wakati wa tendo yan unakuta sekunde chache kakojoa siku akijitahidi kuchelewa ni dk 3 yan hapo kajitahidi sana tena hizo dk 3 unakuta ni mpaka mwanamke ukae kama gogo usikatike ndoanafikisha, ila tofauti na hapo ni dk 1 tayar kakojoa msaada jamani afanyaje awe anachelewa maana mazoezi anafanya, anakula vizuri ila sielewi tatzo ni nn jaman
Mimi napiga puri sana nahic imeniafect mpaka nashindwa kukojoa. Napiga mashine hta masaa lakin dudu hailali na haitaki kukojoaYaani hiyo ni puri tu.
Mwambie aache
umemchoka Huyo Mdada, ama K iko kawaida sana Mzee Baba,Mi naomba msaada. Nachelewa kukojoa. Yan ninazaidi ya miaka mitano kupiga bao zaid ya tatu. Siku hizi itc worse hata moja naweza nsikojoe. Nalala na mwanamke mpaka aseme amechoka ndyo na mm naweza muacha bila kukojoa au kukojoa kwa kulazmisha.
Mkuu hii kitu imenifanya mpaka ntafune na wanafunzi lakina ni vile vile tuu.umemchoka Huyo Mdada, ama K iko kawaida sana Mzee Baba,
sio bure
Mwenzang round ya 2 haend wala ya 3 ila tunapendana tena sana tu kula anakula vzur hapo kwenye stress ndo cjajua coz na haya maisha yalivyo na ugumu sasa cjui kichwan kwakeKila Mwanaume aliwahi kuwa hivi, kwenye kipind cha ukuaji wake, inasababishwa na mambo mengi,
1. kufanya punyeto.
2. kukaa muda mrefu bila kufanya
3. kuwa na hisia za karibu na nyege nying. (hisia)
La kuangalia je? anafanga mara ya 2, na ya 3, na ya 4 na ya 5? kama jibu moja wapo kati ya hayo ni hapana, basiii ndio anatakiwa aaangalie daily routine, ukiacha hayo mazoez, je Food intake yake ikoje?anakula vizuri? anashiba?, anapumzika? haumwi? hana Stress? Anakupenda? anafurahia kuwa na wewe? ana nyege na wewe?
Asante ngoja ntamwambiaMwambie asikamie. Na afanye km ni kitu cha kawaida asiwe na misisimko ya ajabu. Halafu yeye mwenyewe ajifunze kuhold bao likija.