Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
Habari zenu.
Kwanza niko serious.
Pili ni habari inayonihusu mimi mwenyewe, sijasimuliwa na mtu.
Straight to the point :
First time, nimemwandaa vzur sana, kalegea na kutepeta yaan kaloana. Sasa muda wa kuanza mchezo ile naingiza tu, hata cjaanza kupampu wazungu haooo...
Daaah, nikawa frustrated, akaanza kuniforce niendelee nami Kutokana na kuwa disappointed nikishindwa kabisa kuendelea. Akamaind sana, nika apologize nikisema cjafanya cku nyingi sana. At least akani elewa.
Second time, nimemwandaa tena kwa muda wa Kutosha tu, mpaka nikaingiza mashine yangu, mambo mswano... Tatizo ile akaanza kukatika tuu, wagiriki haooo....
Very disappointing (for a really Man Who cares nadhan anajua feelings gan nilikua nazo hapo)
Nikamwambia tena, bado cjakuzoea Mariam, As TIME goes on you will enjoy baby. Believe me.
Dizain kama alielewa tena.
Mara ya tatu (juzi juzi hapa pale Mkomilo hotel Sinza rayan)
Nimebook room fresh, nasema leo bora tu tuishie kutomasana nisije aibika zaidi, mpaka nitafute ufumbuzi wa hili TATIZO..
Hivo tukaishia kula romance tuu ingawa mtoto alilainika sana.
Nadhan kwa mtu mzima mwerevu mpaka hapa TATIZO langu amelijua sihitaji kuelezea zaidi..
Nishaurini nifanyeje, nami napenda kuwa kama nyie nimridhishe mpenz wangu jaman, nafadhaika kwa hali hii.
Hivi nitakua na tatizo gan ama kuna step nakosea wakuu wangu tafadhalini.
Uinjinia wangu wekeni kando, nisaidien hata kwa ushaur niwe napiga show hata 30 minutes, TWO goals I will be much happy.
#Chief Eng
Pole sana Chief Engineer,
Tatizo lako kitaalam linajulikana kama “premature ejaculation” au kufika kileleni mapema au kwa lugha ya mtaani ‘kukojoa upesi’. Ni hali ambayo inampata mwanamme ambapo hutoa shahawa kabla ya kuanza tendo la ndoa au muda mfupi tu baada ya kuanza tendo bila yeye mwenyewe kukusudia. Kwa kawaida mtu mwenye tatizo hili hutoa mbegu zake za kiume hata baada ya maandalizi kidogo sana. #Unaweza kugoogle na ukapata taarifa zaidi.
Tatizo hili hujidhihirisha zaidi kwa vijana wenye umri mdogo na hupungua kadri umri wa mtu unavyoongezeka. Karibu kila mwanamme kwa wakati fulani hupata tatizo hili lakini baadhi ya wanaume wenye umri wa kati huwa na tatizo la kudumu.
Chanzo kamili cha tatizo hili bado hakijafahamika. Lakini imethibika kwamba wasiwasi au mishipa ya fahamu inahusika sana na tatizo hili. Hali hii inaweza kutokea unapompata mpenzi mpya au unapofanya tendo hili baada ya muda mrefu kupita toka ulipotoa shahawa mara ya mwisho. Hii ndiyo sababu iliyofanya baadhi ya wanaume kugundua kuwa wakinywa pombe kidogo, huwapunguzia wasiwasi na huwasaidia wachelewe kufika kileleni. Mara nyingine tatizo hili linatokana na matatizo katika mfumo wa homoni za mtu au likiwa ni matokeo ya matumizi baadhi ya madawa.
Kwa kawaida tatizo la kuwahi kufika kileleni mapema ni tatizo ambalo huondoka lenyewe kadri umri unavyokuwa unasogea mbele. Kama tatizo sio kubwa sana, kwa mfano, kama unamudu kuendelea na tendo la ndoa kwa dakika tano na ungependa kufikisha dakika kumi, wewe sio mtu wa kumwona daktari bali mtu ambaye unaweza kufanya mazoezi fulani ya kuongeza muda wako. Vitu rahisi vya kufanya ni kutokuwa na papara, kutulia na kondoa mawazo yako kutoka kwenye tendo na kuyapeleka mbali kwenye jambo jingine tofauti kabisa unapokaribia kufika kileleni. Unaweza kufanya utafiti na mpenzi wako mkapata mtindo (sexual position) ambao utakusaidia usifike kileleni mapema. Kama hali yako ni mbaya zaidi, unaweza kutumia njia zifuatazo:
1. Kufanya mazoezi yanayosaidia kuondoa tatizo la kuwahi kufika kileleni. Hapa chini ni orodha ya baadhi ya mazoezi unayoweza kufanya;
-Kuvuta Na Kutoa Pumzi (Deep Breathing)
-Kuanza Na Kukatisha (The Stop-and-Start Method)
-Kuminya (The Squeeze Method)
-Mazoezi Ya Kegel (Kegel Exercises)
-Mazoezi Ya Tantra (Tantric Techniques)
Mazoezi ya Kegel yana umuhimu wa kipekee kutokana na ubora wake katika kuondoa tatizo la kukojoa upesi (siyajui sawasawa, ngoja waje kina Mzizi Mkavu wanaweza kukusaidia zaidi).
2. Kutumia kondomu maalumu (Condoms With Benzocaine). Kondomu hizi hukusaidia uendelee na tendo la ndoa na kuongeza muda wako wa kufika kileleni kwa kiwango cha hadi dakika tano. Kondomu hizi huwekwa benzocaine ambayo hutia ganzi kwa kiwango kidogo sehemu ya kichwa ya uume ili kupunguza usikivu wa nyege (sexual sensation) na kumfanya mwanamme aweze kutawala muda wake wa kufika kileleni.
3. Kutumia dawa zilizotengenezwa mahsusi kwa tatizo hili (Antidepressant medicines). Dawa ambazo zimekuwa zikitumika ni pamoja na Vig Power, Clomipramine (Anafranil) na Dapoxetine (Priligy). Tramadol (Ultram), dawa ambayo hutumika kuondoa maumivu, hutumika pia kuondoa tatizo hili.
Kuna creams, gels na sprays ambazo zimetengenezwa kupambana na tatizo la kukojoa haraka. Hizi hufanya kazi kwa kupunguza usikivu wa nyege kwenye dhakari. Mfano wa dawa hizi ni lidocaine au lidocaine-prilocaine ambayo hupakwa kwenye uume kabla ya kuanza kujamiiana…