swali langu ni hili, kuna nafasi ya mtu kufanya kilimo kubwa cha mpunga hapo mbarali, kuna sehemu ziko wazi ambapo mtu anaweza lima mpunga, kwa large scale , hata kaa ni 10,000 au zaidi hata kaa ni pori ambao haijawai rimwa mtu ataaza upya, kaa iko hio nafasi nipe taarifa mkuu, natangulia shukarani