MPUNGA MMOJA
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 304
- 401
Wilaya ya Mbarali ndio eneo linalotoa 70% ya 32% ya Mpunga unaozalishwa Nchini ikiwa na Schemes zaidi ya 5 za Watu binafsina za Serikali.
Scheme ya Madibila:
~ Eneo ekari 23,005, Ekari 15,000 za Serikali na Ekari 8005 za Wananchi
~ Mavuno gunia 736,160 kwa msimu
~ Scheme za wananchi kila kaya imepewa Ekari 5.
Scheme ya Madibila:
~ Eneo ekari 23,005, Ekari 15,000 za Serikali na Ekari 8005 za Wananchi
~ Mavuno gunia 736,160 kwa msimu
~ Scheme za wananchi kila kaya imepewa Ekari 5.