Wakuu, nina furaha isiyo kifani wa matokeo ya mechi ya El Clasico iliyochezwa juzi tarehe 21 Novemba tena nyumbani kwa hasimu wetu Real Madrid. Matokeo ya mechi hiyo ni Barca 4 Real Madrid 0 yamenifanya kumfikiria mabadiliko ya serikali toka kwa mheshimiwa Kikwete ya awamu ya NNE.