LEO NDIO ILE SIKU ILIYOKUWA INASUBIRIWA KWA HAMU SIKU YA MIAMBA YA SOKA DUNIANI
LA BRAUGANA vs LOS BLANCOS
MECHI ITACHEZWA SAA 12 NA DAKIKA 15 E.A.T ni mechi ya ligi kuu Hispania almaarufu LA LIGA
JICHO LOTE NI KWA MESSI na RONALDO ambao wanawania tuzo ya uanasoka bora wa dunia
Mechi hii inachezwa huku Madrid wakiingia uwanjani kwa kujiamini kutokana na Barcelona kufanya vibaya kwani kwenye mechi nne zilizopita Barcelona imeshinda mechi moja pekee huku Madrid wakishinda zote na kukata tiketi ya robo fainal kombe LA mfalme kwa jumla ya bao 13
View attachment 442270
Barcelona wanaoongozwa na MSN ambao hadi dakika hii wameachwa na vinara Madrid kwa jumla ya alama 6 wao wanaingia uwanjani ili kupunguza alama na LA kujivunia zaid ni hakuna kocha wa Barcelona aliyepoteza El Classico mara mbili mfululizo
View attachment 442273
UTABIRI WANGU:
Kipigo atakachopigwa Zidane leo hatakaa asahau na endapo Madrid atashinda na nipigwe Ban mwaka huu woooote
TUWE PAMOJA KWA UPDATE
LA ziada huko EPL ni mechi ya Manchester City vs Chelsea
Maoni yangu Man city wamuangalie Ngolo Kante huyu ndiye mkata umeme