Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Pepe has got new boots.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LEO NDIO ILE SIKU ILIYOKUWA INASUBIRIWA KWA HAMU SIKU YA MIAMBA YA SOKA DUNIANI
LA BRAUGANA vs LOS BLANCOS
MECHI ITACHEZWA SAA 12 NA DAKIKA 15 E.A.T ni mechi ya ligi kuu Hispania almaarufu LA LIGA
JICHO LOTE NI KWA MESSI na RONALDO ambao wanawania tuzo ya uanasoka bora wa dunia
Mechi hii inachezwa huku Madrid wakiingia uwanjani kwa kujiamini kutokana na Barcelona kufanya vibaya kwani kwenye mechi nne zilizopita Barcelona imeshinda mechi moja pekee huku Madrid wakishinda zote na kukata tiketi ya robo fainal kombe LA mfalme kwa jumla ya bao 13 View attachment 442270
Barcelona wanaoongozwa na MSN ambao hadi dakika hii wameachwa na vinara Madrid kwa jumla ya alama 6 wao wanaingia uwanjani ili kupunguza alama na LA kujivunia zaid ni hakuna kocha wa Barcelona aliyepoteza El Classico mara mbili mfululizo View attachment 442273
UTABIRI WANGU:
Kipigo atakachopigwa Zidane leo hatakaa asahau na endapo Madrid atashinda na nipigwe Ban mwaka huu woooote
TUWE PAMOJA KWA UPDATE
LA ziada huko EPL ni mechi ya Manchester City vs Chelsea
Maoni yangu Man city wamuangalie Ngolo Kante huyu ndiye mkata umeme
UTABIRI WANGU:
Kipigo atakachopigwa Zidane leo hatakaa asahau na endapo Madrid atashinda na nipigwe Ban mwaka huu woooote
TUWE PAMOJA KWA UPDATE
LA ziada huko EPL ni mechi ya Manchester City vs Chelsea
Maoni yangu Man city wamuangalie Ngolo Kante huyu ndiye mkata umeme
Madrid anapigwa 3-1Afe kipa afe bek lazma Madrid washinde leo
Mkuu ondoa hofu kabisaHapo blue tafadhali futa kauli yako. Invisible hachelewi ku like hii post yako. Afu kinachofuata hakina tofauti na kinachompaka camander Lema.
Hii game nasisitiza ni 50/50.
Vikosi vitakuwaje leo
Barcelona have lost just three of the lastAfe kipa afe bek lazma Madrid washinde leo
Sio kukata tamaa ndugu yangu, my intuition tells me so.Shujaa hakati tamaa mkuu
Usijali mkuu leo lazima tumvunje bikr*Sio kukata tamaa ndugu yangu, my intuition tells me so.
Leo tunamtafuna Zidane bila huruma
Barca 0 Madrid 0