BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Huyi refa ana onesha kuipendelea barca lakin tuta wafunga hivo hvo
Hii mechi Madrid anabebwa sana ngoja tumalizie second half
Mkishinda nahamia Burundi na ntakutumia picha.
Kwa kuwa hamshindi sina tatizo
Vipi ushaweka booking?
Mnyama katupia tayari
Ni burundi ulisema? Na sio kwa bwana PUTTIN
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Acheni kunisambazia uongo, ndio nashuka hapa Catalunya kwa ajili ya kuwahi mechi
1 na 2 ni KING una la ziada
Burundi huendi tenaMadrid akifungwa nahamia burundi
njoo uwakimbize aysee...
ahah hah hah hah hah
Burundi huendi tena
ebana hah hah hah hah dah yaani nilikua naangalia mechi huku nawaza ahadi ya ndugu yangu.
kuna siku Nyekundu aliahidi Milan akifungwa atameza Panga...dah
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Vipi ushaweka booking?
Mnyama katupia tayari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]njoo uwakimbize aysee...
ahah hah hah hah hah
ππtumedraw... so atahamia border/ mpakani...
Droo si mbaya mmejitahidi ntaenda hata kigoma tuu kwa siku kadhaaMkuu nimeumia sana kwa-kweli....dakika ya 90 jamaa wamerudisha!!!!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Madrid tumemvunja bikra
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Madrid hii ikifungwa na Barca ni mwisho wa dunia