El Clasico: Maswali muhimu kuelekea katika pambano la Barca na Madrid...

El Clasico: Maswali muhimu kuelekea katika pambano la Barca na Madrid...

njoo uwakimbize aysee...
ahah hah hah hah hah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bosi kama Madrid wangefungwa na Barca hii hapa ilitakiwa Zidane afukuzwe kazi, hata hii droo ni bas tuu, ila jamaa ni wabovu hawa.

Ila nilisha jua safari imeiva muda flan hivi
 
Back
Top Bottom