El clasico ya Spain na Watani wa jadi wa Tanzania.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Ukisangaa ya Musa utaona ya Farauni. Leo j5 pana mechi kali dunia nzima wanaiona katl ya Real Madrid ya Barcelona kombe la mfalme. J1 hii timu hizi zinakutana tena kwenye La liga. Wapangaji wetu wa mechi hapa wasingeweza kuzikutanisha timu zinazojiita watani wa jadi ambao mechi yao hata jirani zetu hawaijui!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni Yanga,wanatafuta kila upenyo wasikutane na mnyama. Uliona walichofanya Mapinduzi Cup na Sportpesa? Yote ni kuikimbia Simba. Wameanza mikakati ya kujinasua na Simba huko Kagame Cup wapo kundi moja. Kama unakumbuka mwaka jana walipangwa kundi moja na Simba wakazingizia wana mechi za kimataifa. Mwaka huu wamekuja na hoja wana hali ngumu kifedha
 
Sawa mkuu, ila nilikuwa naanisha muda wa kukutana timu hizi zetu baada ya mechi za mwisho.
 
Sijapata kuona real madrid dhaifu kama ya msimu huu. Nadhani ronaldo alikua icon ya timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…