Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Ukisangaa ya Musa utaona ya Farauni. Leo j5 pana mechi kali dunia nzima wanaiona katl ya Real Madrid ya Barcelona kombe la mfalme. J1 hii timu hizi zinakutana tena kwenye La liga. Wapangaji wetu wa mechi hapa wasingeweza kuzikutanisha timu zinazojiita watani wa jadi ambao mechi yao hata jirani zetu hawaijui!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app