Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Copa del rey.Madrid sikashapigwa juzi na barca kunamechi ingine tena
Sahau Barca imesharudi ilikokuaHiyo mechi tunakuja kulipa kisasi. Subirini
Barca mkikaa vizuri, mnaweza beba LaligaNashukuru kwamba mimi ni shabiki wa Barca na wamenikosha sana roho. Wasi wasi unaanza pale ninapo waza hasira ya madrid.
Watakuwa na uchu sana wa kulipiza sasa sijui kama hiyo mechi iliyobakia kama tutatoboa kibabe tena. Nyie mnaonaje?