El Mereikh yaipeleka Yanga uwanja wa Mohamed Wa Tano ili kumaliza kazi mapema

Simba walipata short on target dakika ya 76
Ukitaka kujua shot on target hazina maana iwapo hautazitumia, basi angalia zile penati. Simba na Yanga kila moja ilikuwa na shot on target nne, lakini Simba ikashinda 3-1 😁
 
Kweli vijana wa rage mna stress za kufa mtu, Nani kakuambia yanga inaogopa kucheza popote hapa duniani? Yanga kacheza viwanja kibao vya ugenini na kapata matokeo chanya sembuse Morocco🤔🤔, Yanga kacheza ugenini na timu za waarabu wagumu na kapata matokeo, kacheza Tunisia na algeria na timu wenyeji wa hizo nchi na kazipelekea moto sembuse El merekh illiyoomba tu uwanja kuutumia? Ayo magoli 4-5 unayosema yanga atafungwa nafikiri kabla ujapost uwe unafanya upembuzi yakinifu kwanza kujiridhisha na unachopost!
 
Aahaaaaa
 
kwenye mashindano gani?
Mashindano ambayo ndugu yenu Azam kapigwa nje ndani juzi,na ninyi makolo mpaka mlichoma madawa uwanjani,South Africa,Lakini hamkufika hata robo fainali 🤔
 
Mashindano ambayo ndugu yenu Azam kapigwa nje ndani juzi,na ninyi makolo mpaka mlichoma madawa uwanjani,South Africa,Lakini hamkufika hata robo fainali 🤔
Sasa hayo mashindano gani hadi moto unawashwa? Hebu tuzungumzie Klabu Bingwa Afrika pamoja na CAF Super League
 
We jamaa una Akili kweli El mereikh inacheza Shirikisho(Caf confederation) na Yanga inacheza Mechi za Caf Champions League,

Haya sasa tuambie watakutana wapi ?
 
watafungwa asubuhi kabisa, hii yanga ya sasaivi sio ile waliyoizoea. hawataamini macho yao, though kocha wa yanga ukimwangalia kwa makini unaona kama anabahatisha tu, ngoja tuendelee kumwangalia.
 
Yani Bado mtu MZIMA kabisa ANAANDIKA Habari bila source.

ANAANDIKA bila evidence.

ANAANDIKA mawazo yake na Akili zake Bila Citation.

UJINGA NI KIPAJI.

LONG LEAF JF
Mimi siku hizi nalia na Mods tu. Maana Mtu anaweza kuanzisha Uzi ikaonekana ni uzushi lakini utaachwa milele. Angalau wiki mbili zilizopita nyuzi nyingi zilifyekwa Kwa kukosa credibility, lakini wameanza kuachia tena anonymous sources.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…