econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Acha uongo, Simba alicheza na Pirates robo fainali.Mashindano ambayo ndugu yenu Azam kapigwa nje ndani juzi,na ninyi makolo mpaka mlichoma madawa uwanjani,South Africa,Lakini hamkufika hata robo fainali 🤔