Acha uongo, Simba alicheza na Pirates robo fainali.Mashindano ambayo ndugu yenu Azam kapigwa nje ndani juzi,na ninyi makolo mpaka mlichoma madawa uwanjani,South Africa,Lakini hamkufika hata robo fainali π€
El Mereikh ni timu ya mtaani, haina kwao, bora wale wa Djibout wana kwao, hivi wametokewa watarudi kwao, lakini El Mereikh wakishatolea bado hawakua na pa kwenda.
Ila mseme mapema kama hao El Merreikh ni vibonde au la..!! Maana hamjambo kwa kugeuza storiEl Merreikh wameondoa kituo cha kazi pale Rwanda baada ya kufuzu hatua ya awali na sasa wamechagua kiwanja cha Morroco kama kituo cha kazi kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga.
El Merreikh wanaona kule Morroco ndio wanaweza kupata mabao 4 hadi 5 ili wakija hapa Taifa kazi ya kutafuta suluhu iwe nyepesi.
Kazi kwenu mliocheza na wenye njaa jana halafu mnajisifia kuwa mnajua mpira.
YangaNani anaanzia ugenini kwenye hii game
Usisahau huko nyumbani kunakosemwa si kwao. Washabiki wao kindakindaki hawatakuwepoGame itakua ngumu kwa yanga
Uwezekano ni mkubwa wa yanga kushindaYanga
Ila akachukua ubingwa??[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]maisha haya dahSimba walipata short on target dakika ya 76
Wewe unaonaje? πIla mseme mapema kama hao El Merreikh ni vibonde au la..!!