Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hawa wevurugwa wiki hii.wasamehe bureKapindua meza kivipi wakati mechi ya Kwanza alikuwa nyumbani na akashinda bao mbili.
Mechi ya pili ndo amepoteza ugenini Kwa 3-1 hivyo amepita Kwa bao la ugenini..au Mimi ndo sijui maana ya kupindua meza?
Wamevurugwa hao. Yaani ni papatu papatu tupuKapindua meza kivipi wakati mechi ya Kwanza alikuwa nyumbani na akashinda bao mbili.
Mechi ya pili ndo amepoteza ugenini Kwa 3-1 hivyo amepita Kwa bao la ugenini..au Mimi ndo sijui maana ya kupindua meza?
hii sio dhana sahihi ya kupindua mezaUnaweza dharau Yanga ila yaliyowatokea wengne leo Al Hilal ataingia kwa akili sana.
Kila la heri Yanga. Mungu ibariki Tanzania, bariki Yanga yetu.
Kwa hisani ya @mamabongeeeeee