El Merreikh yatoa dau kwa Manula

ze-dudu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
17,640
Reaction score
22,748
Klabu ya El Merreikh ya Sudan inadaiwa kuwa inataka kumsajili golikipa wa Simba Aishi Manula ,25, kwa dola 100,000 (Tsh milioni 231) na mshahara wa dola 8000 (Tsh milioni 18.5) kwa mwezi."

Mwache akapokee hela za kuufuta umaskini, ambazo simba wanapata wageni tu kina chama na miquissone , mshahara wa milion 18 ni mafao ya mtu aliefanya kazi miaka kibao.. unakukomboa vizuri ukiwa makini
 
Wanautani hao Manula thamani yake ni kubwa mno sio wa kumgombea kwa dau hilo. Ni goal keeper ambaye hata kukiwa na wachezaji watatu uwanjani bado yale mashaka ya kufungwa huyapati.

Kwa bei hiyo labda waongee na yanga wanaweza kupata wachezaji hata wanne (ila wote wabovu)

Tumekuwa tukisumbuliwa sana siku hizi za karibuni kwa clubs kubwa za kimataifa kutaka kununua wachezaji wetu.

Mfano juzi hapo Arsernal nao wametuma maombi yao kwa dau la 1B, uongozi wa simba uliwaambia tulieni kwanza tukimaliza msiba tutalifikiria ombi lenu
 
Daah...! Jamani Tanzania wachezaji ni kwa nini wanabaniwa sana wanapotakiwa nje?. Check mpunga huo. Namuombea kijana amwache aende akapige huo mpunga wa mwisho wenye kheri kwenye soka lake
 
Daah...! Jamani Tanzania wachezaji ni kwa nini wanabaniwa sana wanapotakiwa nje?. Check mpunga huo. Namuombea kijana amwache aende akapige huo mpunga wa mwisho wenye kheri kwenye soka lake
Kwani kabaniwa??
 
Aende zake akachukuwe mbumba hizo
Al merreikh ni club kubwa hapa Africa
 
Mwache akapokee hela za kuufuta umaskini, ambazo simba wanapata wageni tu kina chama na miquissone , mshahara wa milion 18 ni mafao ya mtu aliefanya kazi miaka kibao.. unakukomboa vizuri ukiwa makini
Mwaka tu ulishafuta umaskini ndani ya nyumba. Bado match bonus hapo na signon fee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…