Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Kwa uzoefu wengi wanabaniwa. Hata huyu itatokea hivyo. UtaonaKwani kabaniwa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa uzoefu wengi wanabaniwa. Hata huyu itatokea hivyo. UtaonaKwani kabaniwa??
Mbongo aache ugali aende Sudan?Tetesi: Klabu ya El Merreikh ya Sudan inadaiwa kuwa inataka kumsajili golikipa wa Simba Aishi Manula ,25, kwa dola 100,000 (Tsh milioni 231) na mshahara wa dola 8000 (Tsh milioni 18.5) kwa mwezi."View attachment 1737958
Kwani ukikaa kimya unapungukiwa niniHizo pesa akawape utopolo malengo ya Simba ni kuchukua ubingwa wa afrika ndani ya miaka 5 ikiwa ni pamoja na kuchukua wachezaji na kuzuia wachezaji wao wazuri
Kila kitu kina mwanzo akikataa wanaenda Congo hapo au Zambia wachezaji wengi tuInachekesha leo nimeona mchezaji wa zamalek ya misri anasema bila dola milioni 2.5 kwa mwaka haongezi mkataba afu manula kulipwa $8k tunaona ajabu bado sana waongeze kwanzia kwenye dau hadi mshahara ndo itakuwa poa zaid
Halaf baada ya hapo sijui ndio akapata kesi ile ya usajili,ikabidi alipe milioni 45,nilisikia yanga hawakumsaidia katika malipo(sina hakika)Inanikumbusha sakati la Ngasa mshahara wa 80M kwa mwezi akajinasibu anaipenda Yanga. Hahaha
Nyakati za mwisho za career yake akarudi Yanga akawa anakula benchi akawa analalamika kwamba wamemtupa wamesahau wema wake.Halaf baada ya hapo sijui ndio akapata kesi ile ya usajili,ikabidi alipe milioni 45,nilisikia yanga hawakumsaidia katika malipo(sina hakika)
Ankoli ni alifanya undezi mkubwa saana, naimani anajutia mpaka kesho..
Na zamalek wamefilisika atasepa tu huyo...Inachekesha leo nimeona mchezaji wa zamalek ya misri anasema bila dola milioni 2.5 kwa mwaka haongezi mkataba afu manula kulipwa $8k tunaona ajabu bado sana waongeze kwanzia kwenye dau hadi mshahara ndo itakuwa poa zaid
Hawakumchangia hata mia ndio kwanza wanamuona ndezi kukataa lile dili....Halaf baada ya hapo sijui ndio akapata kesi ile ya usajili,ikabidi alipe milioni 45,nilisikia yanga hawakumsaidia katika malipo(sina hakika)
Ankoli ni alifanya undezi mkubwa saana, naimani anajutia mpaka kesho..
Sijui huwa wanarogwa na nani!
Inanikumbusha sakati la Ngasa mshahara wa 80M kwa mwezi akajinasibu anaipenda Yanga. Hahaha
Wachezaji lazima wajue wanauzia huduma timu.Kilicho sikitisha zaidi alipovunja mkataba wake na Azam ..wakamshitaki akatakiwa kulipa hela ikabidi aende benki kukopa kuwalipa Azam...Yanga kama vile haikuwahusu...yaani uchawi upo unaweza sema ...
Aende amuache beno nae ashineTetesi: Klabu ya El Merreikh ya Sudan inadaiwa kuwa inataka kumsajili golikipa wa Simba Aishi Manula ,25, kwa dola 100,000 (Tsh milioni 231) na mshahara wa dola 8000 (Tsh milioni 18.5) kwa mwezi."View attachment 1737958
Tetesi: Klabu ya El Merreikh ya Sudan inadaiwa kuwa inataka kumsajili golikipa wa Simba Aishi Manula ,25, kwa dola 100,000 (Tsh milioni 231) na mshahara wa dola 8000 (Tsh milioni 18.5) kwa mwezi."View attachment 1737958
Siyo kwa mwenzio. Ni kwa mweziKipaji kinalipa mazee. Milioni 18.5 kwa mwezio sio mchezo kwa maisha yetu haya.