El Merreikh yatoa dau kwa Manula

Inachekesha leo nimeona mchezaji wa zamalek ya misri anasema bila dola milioni 2.5 kwa mwaka haongezi mkataba afu manula kulipwa $8k tunaona ajabu bado sana waongeze kwanzia kwenye dau hadi mshahara ndo itakuwa poa zaid
 
Tetesi: Klabu ya El Merreikh ya Sudan inadaiwa kuwa inataka kumsajili golikipa wa Simba Aishi Manula ,25, kwa dola 100,000 (Tsh milioni 231) na mshahara wa dola 8000 (Tsh milioni 18.5) kwa mwezi."View attachment 1737958
Mbongo aache ugali aende Sudan?
Wameweza akina Samatta na Msuva.
Boban na Kapombe.
 
Inachekesha leo nimeona mchezaji wa zamalek ya misri anasema bila dola milioni 2.5 kwa mwaka haongezi mkataba afu manula kulipwa $8k tunaona ajabu bado sana waongeze kwanzia kwenye dau hadi mshahara ndo itakuwa poa zaid
Kila kitu kina mwanzo akikataa wanaenda Congo hapo au Zambia wachezaji wengi tu
 
Inanikumbusha sakati la Ngasa mshahara wa 80M kwa mwezi akajinasibu anaipenda Yanga. Hahaha
Halaf baada ya hapo sijui ndio akapata kesi ile ya usajili,ikabidi alipe milioni 45,nilisikia yanga hawakumsaidia katika malipo(sina hakika)

Ankoli ni alifanya undezi mkubwa saana, naimani anajutia mpaka kesho..
 
Nyakati za mwisho za career yake akarudi Yanga akawa anakula benchi akawa analalamika kwamba wamemtupa wamesahau wema wake.
 
Inachekesha leo nimeona mchezaji wa zamalek ya misri anasema bila dola milioni 2.5 kwa mwaka haongezi mkataba afu manula kulipwa $8k tunaona ajabu bado sana waongeze kwanzia kwenye dau hadi mshahara ndo itakuwa poa zaid
Na zamalek wamefilisika atasepa tu huyo...
 
Halaf baada ya hapo sijui ndio akapata kesi ile ya usajili,ikabidi alipe milioni 45,nilisikia yanga hawakumsaidia katika malipo(sina hakika)

Ankoli ni alifanya undezi mkubwa saana, naimani anajutia mpaka kesho..
Hawakumchangia hata mia ndio kwanza wanamuona ndezi kukataa lile dili....

Tegete yupo wapi
 
Inanikumbusha sakati la Ngasa mshahara wa 80M kwa mwezi akajinasibu anaipenda Yanga. Hahaha

Kilicho sikitisha zaidi alipovunja mkataba wake na Azam ..wakamshitaki akatakiwa kulipa hela ikabidi aende benki kukopa kuwalipa Azam...Yanga kama vile haikuwahusu...yaani uchawi upo unaweza sema ...
 
Wachezaji lazima wajue wanauzia huduma timu.

Wanacholipwa ni stahili yao na siyo kwamba wanapendwa au wanaonewa huruma.

Tungekua na muono huu tungeona kwamba Yanga ilinunua huduma hivyo maswala binafsi ya Ngasa na Azam ni sawa kutoingilia. Kwavile hatuna huo utamaduni Yanga wanaonekana wasaliti.
 
Hela ndogo sana hiyo, ilibidi angalau alipwe Million 70 kwa mwezi. Manula ni golikipa mzuri sana, binafsi namkubali sana huyo mwamba. Mm sina uyanga wala usimba.
Tetesi: Klabu ya El Merreikh ya Sudan inadaiwa kuwa inataka kumsajili golikipa wa Simba Aishi Manula ,25, kwa dola 100,000 (Tsh milioni 231) na mshahara wa dola 8000 (Tsh milioni 18.5) kwa mwezi."View attachment 1737958
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…